engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,379
- 1,394
Xavi mwenyewe anakiri kua...jack wilshere aliwalaza hoi...sasa niambie ni match ipi xavi, iniesta na messi hawakuwepo uwanjani? Kama huna kumbukumbu usikurupuke kuchangia mkuu.arsenal alimfunga barcelona,hapakua na xavi,iniesta wala messi,mechi ya marudiano refa alipoona hali mbaya akatoa kadi nyekundu kwa van persie tena arsenal ikiwa na wachezaj saba wa kikosi cha kwanza wakiwa majeruhi,barcelona hyohyo ikatolewa na chelsea nusu fainali
Muda wote unatafuta pesa tu...huna muda wa kutumia? Hizi ajira za wahindi bhana.Hizi nguvu za ubishi ziweke kwenye kutafuta pesa.. Miaka 28 kukaa siku nzima unabisha jambo moja inaonekana huna shughuli ya kufanya... Jitahidi shemeji anakereka na uwepo wako usio na faida hapo kwake
Naona mbezi kimara ushaamka kuwahi foleniMuda wote unatafuta pesa tu...huna muda wa kutumia? Hizi ajira za wahindi bhana.
Huwezi kusikia barcelona, Madrid wanawataka hao wachezaji zaidi ya chokochoko za media za uingereza. Huyu Sanchez, na Ozil walitupiwa virago na barca na madrid. Epl wao wakawaona bonge la wachezaji. Kwa taarifa yako Madrid na barca hawauzi wachezaji. Ukiuzwa ujue hawana mipango na wewe.coutinho,sanchez,ozil,hazard,willian..halafu hao wanaocheza la liga wanatokea wapi?
Nilimaanisha game zitakua na ushindani mkubwa sana...nadhani umeshuhudia mwenyewe.
kama umedandia vile,dzain hujaelewa umequote tuHuwezi kusikia barcelona, Madrid wanawataka hao wachezaji zaidi ya chokochoko za media za uingereza. Huyu Sanchez, na Ozil walitupiwa virago na barca na madrid. Epl wao wakawaona bonge la wachezaji. Kwa taarifa yako Madrid na barca hawauzi wachezaji. Ukiuzwa ujue hawana mipango na wewe.
Kuhusu bale modric Ronaldo ki ukweli walipotea njia. We angalia bale na modric clab waliyotokea. Suarez ni world class player.
nilimaanisha walipotea uwanjan,messi alikua mzururaji tu,huduma zote zilikatwa katikatiXavi mwenyewe anakiri kua...jack wilshere aliwalaza hoi...sasa niambie ni match ipi xavi, iniesta na messi hawakuwepo uwanjani? Kama huna kumbukumbu usikurupuke kuchangia mkuu.
real madrid ni timu ya kawaida tu yenye wachezaj wanaokua overrated,na mbaya zaid haichezi kitimu,hivi mchezaj kama contrao alikua na uchezaj gan wa kutisha?pepe?..au kisa kucheza madrid inayobebwa na historia?Kwa nini unasema kuna ushindani? Wakati timu zote za EPL zina viwango vibovu? Sasa hiyo Leicester city yenu inayovimbia hizo timu mnazoziita kubwa inaweza kujilinganisha na A. Madrid?
Kitu kingine unaposema La liga ni timu mbili tu zinachukua ubingwa kwani EPL kabla ya man city haijanunuliwa na billionea si timu mbili tu Man U na Chelsea ndo zilikuwa zikipokezana ubingwa? Kila ligi lazima iwe na wababe nchi zote. Ujerumani kuna B. Munic na B.Dortmund, Ureno ni Portal na Benifica, England ni Man U na Chelsea sema tu sasa hivi pesa zimevuruga hadi man city imeingilia kati. Asernal ni average timu ni level za Sevilla au Valencia. Liverpool inabebwa na historia tu lakini hamna kitu ishajifia kama Ac Milan.
Namalizia kwa kusema Bayern Munic, Real Madrid na Barcelona hizi ni level nyingine, miaka iliyopita ningeweka hata Man u. Hizi ni timu ambazo ni aggressive katika mafanikio na zinasajiri world class players hivyo usishangae kunyanyasa timu za kwenye ligi yao tofauti kwa sasa ligi ya EPL haina hicho kitu. Wachezaji wa timu za EPL kwa sasa ni average players tofauti na zamani ndo maana zinashikana mashati na wewe unakuja kubwabwaja hapa eti EPL ni ngumu. Let say mechi ya jana Liverpool vs Asernal zmetoka sare. Hiv ww unafikiri kwa mchezo wao mojawapo ingekutana na Barca si ingekula goli kumi😎
barcelona ukimtoa iniesta na messi hutoitukuza kiasi hcho,wamemchukua vermalaen,alikua na ubora gani epl? Rakitic ana utofaut gan na wachezaj wa epl..plus beki ya barcelona ni mbovu tangu kitambo tu,kinachowabeba ni kukaba mtu wakiwa wengiHuwezi kusikia barcelona, Madrid wanawataka hao wachezaji zaidi ya chokochoko za media za uingereza. Huyu Sanchez, na Ozil walitupiwa virago na barca na madrid. Epl wao wakawaona bonge la wachezaji. Kwa taarifa yako Madrid na barca hawauzi wachezaji. Ukiuzwa ujue hawana mipango na wewe.
Kuhusu bale modric Ronaldo ki ukweli walipotea njia. We angalia bale na modric clab waliyotokea. Suarez ni world class player.
umeongea ubwabwa tu,pitia tena ulchoandika uhariri uandike vitu vyenye mantikKuna tofauti kati ya league ynye mvuto na league bora ndio maana kwenye league bora team bora ndio inayoshinda mechi ni tofauti na epl ambpo kila team ina uwezo wa kushinda yaani West ham anamfunga arsenal man city Liverpool lkn anafungwa na team kma Norwich City mambo hyo ni ypo England pke ake kwenye league ynye mvuto na iliotawaliwa na vyombo vya habar ndio maana uefa team za spain znadominate na spain team bora ndio inayoshinda mara kwa mara
real madrid ni timu ya kawaida tu yenye wachezaj wanaokua overrated,na mbaya zaid haichezi kitimu,hivi mchezaj kama contrao alikua na uchezaj gan wa kutisha?pepe?..au kisa kucheza madrid inayobebwa na historia?
hamfikii huth wala cahilKwahiyo madrid inabebwa historia kama liverpool? Sasa huyo pepe unamfananisha na Sakho au Toure Kolo
Unaijua position ya Modric na hao unaowataja?Modric ana kiwango kuliko Hazard, Sanchez,Aguero,Toure na Ramos anawazid Kompany,Hummels, Stones ngumu kumesa.
Hao ulowataja wachukue nafasi ya nani ktk kikosi hiki kilichotajwa?Hii itachukua miaka mingi kama fifa hawataacha chuki zao dhidi ya Epl...england kuna wachezaji wazuri sana amini maneno yangu..mesut ozil..kun aguero..sio wa kukosa.
Zotetimu gan inabutua epl?
Haha sanchez na ozil wote walikimbia kwa sababu gani.. si kwa sababu walikuwa hawapati namba au unafkiri tu sanchez aliamua kuondoka barca kisa anaipenda sana arsenal?Cech,DDG,Cortous,Ozil,Koscienly,Sanchez,Martial,Hazard,Coutinho hawa wanacheza hizo timu
Unaizungumzia arsenal ambayo messi aliifunga magoli manne mwenyewe au arsenal gani?...we jamaa una matatizoarsenal alimfunga barcelona,hapakua na xavi,iniesta wala messi,mechi ya marudiano refa alipoona hali mbaya akatoa kadi nyekundu kwa van persie tena arsenal ikiwa na wachezaj saba wa kikosi cha kwanza wakiwa majeruhi,barcelona hyohyo ikatolewa na chelsea nusu fainali
barca au madrid kuna beki gan anawazid kompany na koscielny,kiungo gani anamzid yaya toure?..au umeamua kujifurahisha tu
Real madrid ni timu ya kawaida ... tukubaliane na wewe..real madrid ni timu ya kawaida tu yenye wachezaj wanaokua overrated,na mbaya zaid haichezi kitimu,hivi mchezaj kama contrao alikua na uchezaj gan wa kutisha?pepe?..au kisa kucheza madrid inayobebwa na historia?