FIFA yaipa Yanga siku 45 kumlipa Okra Magic Tsh 66,612,000.00 na siku 30 kulipa fine ya Tsh 8,190,000.00

Yule kiongozi wa Utopolo aliambiwa tengeneza mkeka weka ushindi mechi za Simba utapata hiyo pesa alivyo na kichwa slow na kigumu katest kwa kuweka mkeka wa mia tano aone kama utatiki.

Sasa hivi ndo anajuta kwanini hakuweka pesa yote ya ununuzi wa Jezi akaibetia Simba, angeshalipa hilo deni.
 
Msomali anataka kuleta ujeuri wa kisomali kwenye haki ya mtu? Huyo wtakuwa ni mzigua siyo Msomali.

Msomali orijino ni mtenda haki.
Huyu sio msonsli origino.Kachangia na kabila moja la Dodoma ndio maana mgumu kwenye haki za watu.Mpaka atishiwe ndio anashika adabu.
 
Mwanasheria anaandika mkataba hajui tofauti ya buyer na seller unategemea nini?You are expecting too much from that novice.
 
Kwamba yeye ndo alitakiwa kumlipa au yeye kushauri.. kazi ya mwanasheria ni kutoa ushauri lkn maboss wanauwezo wa kufuata mitazamo yao..
Kwa hiki ulichoandika basi yanga kuna shida,
1. Mwanasheria unakaaje kwenye ofisi ambayo husikilizwi kwenye mambo ya kisheria
2. Viongozi wa yanga wanatatizo kubwa kwanini hawamsikilizi mtu waliyemwajiri na wanamlipa mshahara?
 
Namnukuu manara aliwahi kusema." Viongozi wa yanga pale walipo kwenye nguo zao za ndani kunanuka kinyesi."
 
Reactions: Tui
Hawa Uto naskia kule FIFA wana chumba chao maalum kimejaa case files zao tu na pia kuna computer servers na human resource ya kutosha ipo standby kwa ajili yaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Si muda mrefu wanakuja kufungua ofisi ndogo Bongo kwa ajili yao
 
Yanga na viranga vya kujitakia.Huenda hizi ni projects za Mtu,Saa hizi yupo mahali anafuatilia mtego wake anacheeka.Juzijuzi nilisikia wanamtaka na Fred, nikajisemea kwa Yanga hii sitoshangaa.
 
Reactions: Tui
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.usajili wa kukurupuka.
Lipa NUWA
 
Ila watopolo wanapenda kutrend, ela ndogo iyo mpk wafinywe na fifa kweli
 
Reactions: Tui
Shida ya ni kwamba kufanya mambo ya kufurahisha fans na media attention..
Usajili wa okrah ulikuwa na nia ya kuikoga simba...
Yanga pale kuna wahuni tu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…