Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Fuatilia komments zake nyingi masuala ya kisheria kuhusu wachezaji wanaohusishwa na migogoro ya Utopolo utajua namaanisha nini.Kwamba yeye ndo alitakiwa kumlipa au yeye kushauri.. kazi ya mwanasheria ni kutoa ushauri lkn maboss wanauwezo wa kufuata mitazamo yao..