FIFA yaipa Yanga siku 45 kumlipa Okra Magic Tsh 66,612,000.00 na siku 30 kulipa fine ya Tsh 8,190,000.00

FIFA yaipa Yanga siku 45 kumlipa Okra Magic Tsh 66,612,000.00 na siku 30 kulipa fine ya Tsh 8,190,000.00

Yule kiongozi wa Utopolo aliambiwa tengeneza mkeka weka ushindi mechi za Simba utapata hiyo pesa alivyo na kichwa slow na kigumu katest kwa kuweka mkeka wa mia tano aone kama utatiki.

Sasa hivi ndo anajuta kwanini hakuweka pesa yote ya ununuzi wa Jezi akaibetia Simba, angeshalipa hilo deni.
 
Msomali anataka kuleta ujeuri wa kisomali kwenye haki ya mtu? Huyo wtakuwa ni mzigua siyo Msomali.

Msomali orijino ni mtenda haki.
Huyu sio msonsli origino.Kachangia na kabila moja la Dodoma ndio maana mgumu kwenye haki za watu.Mpaka atishiwe ndio anashika adabu.
 
Niliwahi kusema na leo narudia kena kwamba idara ya sheria ya Yanga inacheza chini ya kiwango. Wanachojua ni kuita press alaf wanaeleza utopolo. Angalia idara ya sheria ya Simba yani hata mkuu wa idara humfahamu. Lkn huyu wa Yanga anashinda kesi za kina Magoma lkn ukienda internationalwise ambako ndio kuna kesi za maana ni mdogo sana.

Na wakati mwingine labda anafikiri kuwa mwanasheria ni kusimama mahakamani. Wakati kazi yake inapaswa kuanza kwa kutoa ushauri wa kisheria ili wasifike huko mahakamani.

Haiwezekani kila mchezaji akipeleka kesi nyie mnashindwa tu
Mwanasheria anaandika mkataba hajui tofauti ya buyer na seller unategemea nini?You are expecting too much from that novice.
 
Kwamba yeye ndo alitakiwa kumlipa au yeye kushauri.. kazi ya mwanasheria ni kutoa ushauri lkn maboss wanauwezo wa kufuata mitazamo yao..
Kwa hiki ulichoandika basi yanga kuna shida,
1. Mwanasheria unakaaje kwenye ofisi ambayo husikilizwi kwenye mambo ya kisheria
2. Viongozi wa yanga wanatatizo kubwa kwanini hawamsikilizi mtu waliyemwajiri na wanamlipa mshahara?
 
Namnukuu manara aliwahi kusema." Viongozi wa yanga pale walipo kwenye nguo zao za ndani kunanuka kinyesi."
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hawa Uto naskia kule FIFA wana chumba chao maalum kimejaa case files zao tu na pia kuna computer servers na human resource ya kutosha ipo standby kwa ajili yao😀😀😀
Si muda mrefu wanakuja kufungua ofisi ndogo Bongo kwa ajili yao
 
Yanga na viranga vya kujitakia.Huenda hizi ni projects za Mtu,Saa hizi yupo mahali anafuatilia mtego wake anacheeka.Juzijuzi nilisikia wanamtaka na Fred, nikajisemea kwa Yanga hii sitoshangaa.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ila watopolo wanapenda kutrend, ela ndogo iyo mpk wafinywe na fifa kweli
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hizi timu za Kkoo, hasa Uto, mbona zinatabia ya kujiaibusha sana, Hela ndogo to hiyo mpka mtangazwe kwenye magazeti Habari kutoka fifa. TFF inabidi wawe wakari sana, otherwise itaanza kueleta ukakasi, wachezaji wa nje wataanza kuiweka League ya bongo kama last option, yaani mtu akikosa Kwa kwenda ndio atakuja bongo. Haya Matatizo yamekuwa yanajirudia rudia sana.
Shida ya ni kwamba kufanya mambo ya kufurahisha fans na media attention..
Usajili wa okrah ulikuwa na nia ya kuikoga simba...
Yanga pale kuna wahuni tu ..
 
Back
Top Bottom