Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

Hakikisha hawakujui mimi nina heshima hata mkurugenzi hajui aniulize vip😅😅hii ni special power yaani upo serious kinoma..Mwaka wa tatu sijuani na wati ninao kaa nao ofisi moja.
Hii ndio Siri mkubwa or else unajichimbia kaburi zuri tu and co worker push in it... No team work in private life only in office damn shit 🤣🤣
 
pole unanikumbusha tar 6/12/2022 nipo kampuni flan kubwa sana hapa bongo na mmiliki wake ni muhindi anakaa mitaa ya masaki(buzurugwa) karibia na ubalozi flan wa nchi ya africa nilifukuzwa kazi hata sikutegemea ambapo mm ndio niliekuw nasifiwa ktk kujali muda na utiifu ktk maswala flan hv na bado kampuni ile ikanitapeli pesa zangu.

hadi na leo ninavyoongea sijapata kazi nipo tu japo Alhamdulillah tunakaza hivyo hvyo ila usichoke mkuu shukur Mungu kwa yote hakika ipo siku Mungu atakujalia sehem tulivu ila cha kuongezea..........

TUKIWA MAKAZINI TUJITAHID TUFANYE KAZI KWA BIDII TAMAA NDIO CHANZO CHA WATU WENGI KUPOTEZA AJIRA ZAO UKIWA KAZINI TAMBUA HAKUNA RAFIK WA KWEL USIJE KUMUAMIN MTU USHIRIKIANE NAE KTK DILI[emoji724]
 
Sasa hata kama ndo hivyo kashafukuzwa kazi unadhani kipi kifanyike? Ajiue au?,hata kama huna kitu hard times zikifika lazima ukubaliane nazo
Watu hua mnaongea kirahisi.

What if mleta uzi kazi yake ni zile zetu za anatarajia mahitaji yote yalipwe na mshahara?
 
Tafuta mwanasheria fungua kesi ya unfair termination. Utalipwa hela za kutosha
 
Faida ya uaminifu
 
Fanya kama insider kama una akiba kidogo Anza Uber au fungua duka Anza kuuza kama huna akiba tuliza kichwa wakumbuke watu wako wa karibu uone watakusaidia vipi
 
Pole Sana Ila katika safari yako ya MAISHA zingatia uaminifu


Embrace HONEST faida zake huwa ni kubwa Sana .

Our certainty is in faith ,
Uhakika wa MAISHA yetu upo Katika imani na sio ktk kazi au WATU.

Shukuru kwa kila jambo na uanze kufatilia kazi mpya. na utapata.

Then ukipata kazi yoyote don't get complacent (usiridhike)

Kuwa MTU wa kujiboresha katika Eneo la kazi kuna kipindi utakuwa hautafuti fursa Ila fursa zitakuwa zinakutafuta.


Keep knocking more doors. And God bless you.
 
Mkuu karbu kwenye ulimwengu wa kujiajiri , huku unatakiwa uwe na roho ngumu kidog
 
Maofisini huwa tunaishi kinafki sana!!!
Tuongeze umakini!!!
 
Faida ya uaminifu
Uaminifu ni kitu kikubwa sana hasa kwenye nyakati hizi za tamaa.......

Imagine oda da ya kwanza nakuta mtu ameniwekea milioni kumi kwenye akaunti yangu....mtu hata kwa sura hatujuani zaidi ya simu tu

Siku ile nilikuwa nawaza siku nzima.......

Uaminifu ni kitu kikubwa sana.......

Sina wateja wengi lakini wateja wangu hawa watano wananifanya naishi kwa raha na starehe.....kila oda Yao moja faida yake inanitosha kuishi zaidi ya miezi miwili bila kazi..........


UAMINIFU NI MTAJI.......
 
Kama umekuwa terminated twenzetu CMA tukamkomoe boss Mkuu. Huwezi fukuzwa kazi kienyeji ivyo.
 
Angekuwa mwingine angewaza kukimbia nazo kumbe kuna maisha mazuri unajiharibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…