Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

Sasa wewe unafanya deal na Muhaya, au Msukuma
 
Alafu watu humu mnaongea mambo kirahisi eeehhhh[emoji1787][emoji1787]

Mbona hiyo kesi yake rahisi sana. Kwenye maelezo yake inaonekana kabisa ofisi haijafuata utaratibu wa kumuondosha kazini.

Kama hakupewa nafasi ya kujitetea wakamlima barua kwa kosa alilosema basi unfair termination inahusika ya wazi wazi
 
Kitendo cha mfanyakazi kutumia mgongo wa kampuni ni KOSA kisheria maana linavunja UAMINIFU

Na moja ya reason for termination ni Gross Dishonest (Kukosa uaminifu kwa kiwango cha juu)
Pia umekiri kutenda kosa husika halafu tambua uaminifu haujalishi umevunja kwa mara moja au tatu

Wanaokushauri uende CMA utapoteza muda tu halafu tambua kwenye maisha hatujui kesho yetu.

Kikubwa boss hajakurupuka na pia umetenda kosa lililovunja uaminifu kwake hivyo kwa maslahi mapana ya kampuni hufai tena kuwa member wa kampuni husika.

Funzo: Vijana tupunguze tamaa
 
Rule #1 do not outshine the master.
 
Nliwahi kufanya Kaz kampuni flan hiv bos ni zaidi ya muhindi.. miezi nane kwenye benki hakuna akiba hata ya laki 3 nkajichenga bila kufukuzwa. Nikaja kupata sehem miez minne tu Nina milion na nusu...

Sometimes huwez kupat kazi/fursa nzuri kama ile mbaya hujaicha
 
Mkuu ni bora umefukuzwa kazi kwa sababu sasa ni wakati wako kupanda viwango na kupata cheo kikubwa... Mkuu ikiwezekana gombea urais 2025 maaana mama Samia ni msengeer tu..
 
Kwa maelezo yako wewe ni jambazi na msaliti ambaye masilahi yako unayaweka juu kuliko usitawi wa kampuni au taasisi.
Ufisadi uliotaka kufanya kama ungefanikiwa huenda ungesababisha kampuni kupigwa faini kubwa au kufutiwa vibali kwa sababu tu ya wewe mkora mmoja.
Upo kwenye kampuni unapanga ufisadi kiasi hicho, hali itakuwaje ukipewa ukurugenzi au uwaziri? Si utaingiza hata madawa ya kulevya kwa tamaa zako?
Boss wako amefanya kosa moja tu,ambalo ni kukufukuza kazi bila kukutia makofi.
 
Alafu watu humu mnaongea mambo kirahisi eeehhhh[emoji1787][emoji1787]
Nakuambia ,yani mtu anaongea kama Tanzani ni ulaya vile wanajali haki ya wafanya kazi.HUKU MWANASHERIA WAKO ANAYEKUTETEA ANAPOKEA HONGO ,HAKIMU,KARANI WA HAKIMU WOTE WANAPOKEA HONGO NA KESI UNASHINDWA ...*****..

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mafanikio yanaundugu wa karibu dana na usiri. Ulishindwa kuzingatia hilo. Kazini hakuna rafiki. Mafanikio hayana rafiki
.
 
Kufanya kazi na majaamaa ya kichaga Raha sana machapa kazi Yana akili na hayakai kindezi...Sina ukabila na siupendi ila huo ni ukweli wachaga ni watu poa sana...asikiaye na afahamu.....
 
[emoji16][emoji16]
 
Umestahili kufukuzwa aisee wala hamna figisu hapo,watu Wanatoil kuanzisha kampuni alafu wew kirahisi tu unataka kuhujumu
 
Alafu anasingizia figisu, kuna figisu gani hapo zaidi ya wizi wake!
 
Hakuna FIGISU yoyote uliyofanyiwa bali DILI lako halijafanikiwa kama ulivyotaka.

Lengo lako halikuwa nzuri kwa ustawi wa kampuni au taasisi ila ulijitanguliza ww mbele bila kuangalia maslahi mapana ya kampuni iliyokupa platform hiyo

Wewe unawakilisha vijana wengi wanaotaka Mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi bila kujali Owner's wanavyotoil kurun business,

Kukuterminate bila kukufungulia mashtaka ya KUHUJUMU kampuni inabidi umshukuru Mungu na Boss wako pia

Boss wako amepoteza Uaminifu na wewe na hata ukienda CMA, Labor court au utafute wakili utapoteza muda wako na pesa tu.

Muda huu ulistahili uwe Mahabusu unasubiri kusomwa kesi yako Makahamani kwa kuhujumu Kampuni sio unalalamika umefanyiwa FIGISU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…