Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Tutakavyo wafyonkonoa hiyo April mseme pia tulihonga Manula na Babu Onyango na mtafute mapema kiongozi mmoja wa kumtupia lawama za kuwahujumu.Simba iliposhinda 7 si nyie utopoloo mkaja wima wima, eti Horoyaa mbovu na alikuja kukamilisha ratibaa? Mara tulihonga 38m,
Leo mmegeuziwa nyie mnapanick, vipi kwemaaaaa????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajidharirisha kwa kuzidi kuushilia ujinga. Shtuka mkuu wenzako tunaenda semi finals wewe utaishia kupiga umbea umbea tuUzuri mnajimaliza wenyewe,mimi wala sijasema kitu
Anapofanya vizuri kwenye mashindano gani ?,, hilo kombe la mbuzi?,, kwa timu gani haswa unazokutana nazo ?,, ungekua kwenye ligi ya wanaume ungepongezwa ila huko kwenye ligi ya waliofeli jipongeze mwenyewe tu inatosha, haiwezekani nikupongeze wakati timu unazokutana nazo ni aibu hata kuzitamka..Ifike wakati tujifunze kukubali mwenzako anapofanya vizuri sio kujitafutiza visababu vya kipuuzi na kuja kuaibika mwenyewe. Kwan wao wakina nani kwamba kila mechi wapate on target, wao hawafungwi?
Wakati mwingine mjifunze kuficha ujinga wenu
Dahhh... Hii nchi ngumu Sana. Ukiwa kolo na akili yako inafubaa pia1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Wiki iliyopita kuna uzi tulikuwa tunajadili hii mechi, nikasema Yanga watakuwa na mechi rahisi zaidi nikitumia kigezo kuwa Monastir wameshavuka. Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, wewe ulikuwa mmoja wa watu uliyenipinga kwa kusema watakuja kupambania nafasi ya kwanza.
Sasa unakujaje kupambana halafu nusu ya first 11 unawaweka benchi?
Nilichomaanisha ni kwa wote katika mashindano waliyopo kila mmoja wao. Au kukurahisishia ninachomaanisha hatua ya robo fainali shirikisho na ligi ya mabingwa kuna kukutana na wababe visiki, hivyo ni ngazi ngumu na kipimo kwa timu zote 2 kwenda nusu na pengine fainali yenyewe.Lakini ni mashindano mawili tofauti. Moja anatafutwa bingwa wa ligi, lingine anatafutwa bingwa wa kombe. Simba na Yanga hawapo katika shindano linalowaweka pamoja
Pengine umeongea kishabiki, au pengine umeongea kwavile haujui na haufatilii mpira au pengine umeamua kujitoa akiliAnapofanya vizuri kwenye mashindano gani ?,, hilo kombe la mbuzi?,, kwa timu gani haswa unazokutana nazo ?,, ungekua kwenye ligi ya wanaume ungepongezwa ila huko kwenye ligi ya waliofeli jipongeze mwenyewe tu inatosha, haiwezekani nikupongeze wakati timu unazokutana nazo ni aibu hata kuzitamka..
US Monastir = Namungo fc
Real Bamako = mbeya kwanza fc
Tp mazembe = Polisi Tanzania fc
Mbona ni rahisi tu nilichomaanisha.Hawako shindano 1, usijisahaulishe? Alikokua simba, yanga alifurushwaaa na Al Hilal, hata makundi hajanusa, ndo akaangukia kwa losers.
Kuwa specific wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmezoea vya kunyonga Kila tukio mnadhani na wenzenu wamenyonga!! Ngojeni nanyi waje wawanyonge mtatafutana nani kaondoka na bahasha!!!Huo ndo ukweli,fanya utafiti utapata majibu
Basi kama ni ivyo yanga waikabidhi kombe lake maana vichapo vitaendelea mpaka fainali, kwakuwa timu zote zilizopigwa azikuwa na nia ya ushindi na zitaendelea kutokuwa na nia ya ushindi iwe Tanzania ama nje ya tanzaniaHilo halina ubishi. Toka mechi inachezwa kwenye uzi nilisema hamna timu hapa ya ushindani. Hayo mengine niliyojua baadae yanathibitisha tu ukakasi wa mechi ile.
Inawezekana hawakuhongwa wafungwe ila hawakuwa na nia ya dhati ya kupata ushindi. Nadhani ni mambo mawili tofauti hayo.
Robo fainali ndio tutajua ukubwa wa bahasha kwa timu zote mbili, class is permanent but form is temporary, Uwezo halisi wa kila timu utajulikana siku sio nyingi na timu bora itasonga mbele na sio kusonga ugali!1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
pengine ni vyema ujiulize mambo yafuatayo:1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Alimtoa kibahati tu/ kwa kushikilia bomba nenda youtube kaangalie highlights za ule mchezo utaelewa bahati pia inahusika kwenye mpiraPengine umeongea kishabiki, au pengine umeongea kwavile haujui na haufatilii mpira au pengine umeamua kujitoa akili
Monastir ni timu iliyokamilika hata timu zilizo kwenye klabu bingwa zinafungwa vizuri tu na hawa jamaa. Monastir kamtoa bingwa wa CAF confederation cup ambaye ni Berkane. Na Berkane sio tu bingwa wa CAF confederation cup bali ni bingwa pia wa CAF super cup, kombe ambalo linahusisha bingwa wa champions league vs bingwa wa CAF confederation cup
Mpira ni mbinu sio bahati.Alimtoa kibahati tu/ kwa kushikilia bomba nenda youtube kaangalie highlights za ule mchezo utaelewa bahati pia inahusika kwenye mpira
Mchongooo1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.
2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.
3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.
4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)
NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Kaangalie kwanza highlights za ule mchezo alafu urudi hapa..Mpira ni mbinu sio bahati.