Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

Simba iliposhinda 7 si nyie utopoloo mkaja wima wima, eti Horoyaa mbovu na alikuja kukamilisha ratibaa? Mara tulihonga 38m,

Leo mmegeuziwa nyie mnapanick, vipi kwemaaaaa????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutakavyo wafyonkonoa hiyo April mseme pia tulihonga Manula na Babu Onyango na mtafute mapema kiongozi mmoja wa kumtupia lawama za kuwahujumu.
 
Ifike wakati tujifunze kukubali mwenzako anapofanya vizuri sio kujitafutiza visababu vya kipuuzi na kuja kuaibika mwenyewe. Kwan wao wakina nani kwamba kila mechi wapate on target, wao hawafungwi?

Wakati mwingine mjifunze kuficha ujinga wenu
Anapofanya vizuri kwenye mashindano gani ?,, hilo kombe la mbuzi?,, kwa timu gani haswa unazokutana nazo ?,, ungekua kwenye ligi ya wanaume ungepongezwa ila huko kwenye ligi ya waliofeli jipongeze mwenyewe tu inatosha, haiwezekani nikupongeze wakati timu unazokutana nazo ni aibu hata kuzitamka..

US Monastir = Namungo fc
Real Bamako = mbeya kwanza fc
Tp mazembe = Polisi Tanzania fc
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Dahhh... Hii nchi ngumu Sana. Ukiwa kolo na akili yako inafubaa pia
 
Wiki iliyopita kuna uzi tulikuwa tunajadili hii mechi, nikasema Yanga watakuwa na mechi rahisi zaidi nikitumia kigezo kuwa Monastir wameshavuka. Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, wewe ulikuwa mmoja wa watu uliyenipinga kwa kusema watakuja kupambania nafasi ya kwanza.

Sasa unakujaje kupambana halafu nusu ya first 11 unawaweka benchi?

Nitajie wachezaji nusu ambao huwa wanaanzaga katika kikosi cha kwanza ambao hakucheza dhidi ya Yanga. Twwnde kwenye uhalisia.
Kwenye group stage mbali na kufuzu, timu zinapigania kuongoza kundi je unajua faida ya kuongoza kundi?
Faida ya kwanza kabisa ni kwamba unakuwa na advantage ya kupangiwa na timu zinazoshika nafasi ya pili.
Faida ya pili ni kwamba ni lazima kwenye mechi yako ya robo fainali utaanzia ugenini kisha unakuja kumalizia mechi nyumbani. Timu zote zinazocheza hatua ya makundi wanalijua faida ya kuongoza kundi hivyo Monastir hajaja ku relax kazidiwa na Yanga

Swali langu la msingi umelikwepa nimekuuliza hivi, hao wachezaji wa Monastir waliokuwepo kwenye mechi ya kwanza kule Tunisia ni mpira gani waliocheza kuizidi Yanga ukiachana na zile set pieces walizokuwa wanategemea? Kule kule Tunisia Yanga waliwachezea mpira utafikiri Yanga ndio ipo nyumbani. Yanga ingekuwa makini kwenye mipira ya kutengwa wasingeweza kupata goli.
 
Lakini ni mashindano mawili tofauti. Moja anatafutwa bingwa wa ligi, lingine anatafutwa bingwa wa kombe. Simba na Yanga hawapo katika shindano linalowaweka pamoja
Nilichomaanisha ni kwa wote katika mashindano waliyopo kila mmoja wao. Au kukurahisishia ninachomaanisha hatua ya robo fainali shirikisho na ligi ya mabingwa kuna kukutana na wababe visiki, hivyo ni ngazi ngumu na kipimo kwa timu zote 2 kwenda nusu na pengine fainali yenyewe.
 
Anapofanya vizuri kwenye mashindano gani ?,, hilo kombe la mbuzi?,, kwa timu gani haswa unazokutana nazo ?,, ungekua kwenye ligi ya wanaume ungepongezwa ila huko kwenye ligi ya waliofeli jipongeze mwenyewe tu inatosha, haiwezekani nikupongeze wakati timu unazokutana nazo ni aibu hata kuzitamka..

US Monastir = Namungo fc
Real Bamako = mbeya kwanza fc
Tp mazembe = Polisi Tanzania fc
Pengine umeongea kishabiki, au pengine umeongea kwavile haujui na haufatilii mpira au pengine umeamua kujitoa akili
Monastir ni timu iliyokamilika hata timu zilizo kwenye klabu bingwa zinafungwa vizuri tu na hawa jamaa. Monastir kamtoa bingwa wa CAF confederation cup ambaye ni Berkane. Na Berkane sio tu bingwa wa CAF confederation cup bali ni bingwa pia wa CAF super cup, kombe ambalo linahusisha bingwa wa champions league vs bingwa wa CAF confederation cup
 
Hawako shindano 1, usijisahaulishe? Alikokua simba, yanga alifurushwaaa na Al Hilal, hata makundi hajanusa, ndo akaangukia kwa losers.

Kuwa specific wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona ni rahisi tu nilichomaanisha.
Namaanisha kwa robo fainali kote shirikisho na champions league ni ngazi ngumu maana wote watakutana na timu ngumu. Imagine Yanga akakutane na Pyramids au Simba akakutane na Mamelodi. Hapa ndiyo kazi ipo.
Nazitakia mafanikio timu zote, japo mimi ni Simba mnyama mkali. Ni hatua ngumu robo.
 
Mpaka nimeona aibu mimi kwa huu utumbo ulioandika hapa yaani umekaa weee ukafikiria uandike huu urojo hakika sema nimetumia ubongo wangu vizuri kama unadhani kwepesi na nyie wahongeni Raja Casablanca basi ila Watz tunaishi maisha ya chuki sana au wewe ndio kazumari nini umeona twitter hakutoshi umehamia na huku
 
Huo ndo ukweli,fanya utafiti utapata majibu
Mmezoea vya kunyonga Kila tukio mnadhani na wenzenu wamenyonga!! Ngojeni nanyi waje wawanyonge mtatafutana nani kaondoka na bahasha!!!
 
Sijajua ni kwanini Yanga inawanyima usingizi makolo, Tumia ubongo kufikiri na si makalio.
 
Hilo halina ubishi. Toka mechi inachezwa kwenye uzi nilisema hamna timu hapa ya ushindani. Hayo mengine niliyojua baadae yanathibitisha tu ukakasi wa mechi ile.

Inawezekana hawakuhongwa wafungwe ila hawakuwa na nia ya dhati ya kupata ushindi. Nadhani ni mambo mawili tofauti hayo.
Basi kama ni ivyo yanga waikabidhi kombe lake maana vichapo vitaendelea mpaka fainali, kwakuwa timu zote zilizopigwa azikuwa na nia ya ushindi na zitaendelea kutokuwa na nia ya ushindi iwe Tanzania ama nje ya tanzania
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Robo fainali ndio tutajua ukubwa wa bahasha kwa timu zote mbili, class is permanent but form is temporary, Uwezo halisi wa kila timu utajulikana siku sio nyingi na timu bora itasonga mbele na sio kusonga ugali!
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
pengine ni vyema ujiulize mambo yafuatayo:
1.wachezaji wote wa horoya walikuwa wakicheza wamelewa na kupepesuka
2.walikuwa wanaona mipira miwili miwili
3.makipa walikuwa hawaoni mipira bali mauzamauza mengi kiwanjani
4.kocha mkuu aliugua ghafla na akashindwa kuja na timu
walahi jibu unalo mwenyewe
 
Pengine umeongea kishabiki, au pengine umeongea kwavile haujui na haufatilii mpira au pengine umeamua kujitoa akili
Monastir ni timu iliyokamilika hata timu zilizo kwenye klabu bingwa zinafungwa vizuri tu na hawa jamaa. Monastir kamtoa bingwa wa CAF confederation cup ambaye ni Berkane. Na Berkane sio tu bingwa wa CAF confederation cup bali ni bingwa pia wa CAF super cup, kombe ambalo linahusisha bingwa wa champions league vs bingwa wa CAF confederation cup
Alimtoa kibahati tu/ kwa kushikilia bomba nenda youtube kaangalie highlights za ule mchezo utaelewa bahati pia inahusika kwenye mpira
 
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi.

2. Jamaa hawakupiga hata on target moja.

3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali.

4. Monastir waingia mkataba wa makubaliano na Singidaa Big Stars (na kwenye press ya mkataba akatumia nafasi hiyo kuwapongeza Yanga)

NB: Jibu baki nalo mwenyewe.
Mchongooo
 
Back
Top Bottom