Fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha ya mtoto wako mtandaoni

Fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha ya mtoto wako mtandaoni

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi wakipigania chakula, midoli au kucheza mziki.

Huko Twitter, wanashare picha za watoto wao wakiogelea wakiwa wamevalia mavazi ya kuogelea, wengine wanawekwa wakiwa wahafu au na kaptura zimechanika walipokuwa wakicheza

Ni kweli Kwa mzazi au mlezi, hizi ni kumbukumbu za kukumbukwa. Lakini fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha hizo mtandaoni.

Kadiri unaweka taarifa hizo ndivyo unavyozidi kuunda vielelezo vya kidijitali ikifika wakati wa kuaibishana au kumuinua mtoto, unawaweka watoto wako wazi kwa wanyanyasaji wa kingono wanaowawinda watoto au watu hatari wa aina yoyote ile.

Wazazi lazima wazingatie kwa uangalifu taarifa za kuweka mtandaoni kuhusu watoto wao ili kuwalinda sasa na siku zijazo.
 
Umeongea ukweli, natamani kila mtu angejua madhara ya kuweka faragha yake mtandaoni.
 
Ushamba utawauwa
Watu wa ovyo kabsaa wanapenda attention kwenye mitandao watu wenyewe hata huwajui
Pumbavu kabsaaa mijitu mijinga sana
 
Twitter kwa Tanzania una watu wa hovyo sana aisee twitter ya akina madenge na n.k hovyo kabisa
 
Ni kweli adhari za kumtoa mtoto mdogo mitandao.
Kulogwa kupo
 

Attachments

  • Screenshot_20221019-205212.png
    Screenshot_20221019-205212.png
    232 KB · Views: 13
Yalimkuta masanja na mwanae wa kiume aliekutwa kafanana na marehemu katibu.

Sahv anashinda kajifungia analia mawazo chungu mzima
 
Back
Top Bottom