BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi wakipigania chakula, midoli au kucheza mziki.
Huko Twitter, wanashare picha za watoto wao wakiogelea wakiwa wamevalia mavazi ya kuogelea, wengine wanawekwa wakiwa wahafu au na kaptura zimechanika walipokuwa wakicheza
Ni kweli Kwa mzazi au mlezi, hizi ni kumbukumbu za kukumbukwa. Lakini fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha hizo mtandaoni.
Kadiri unaweka taarifa hizo ndivyo unavyozidi kuunda vielelezo vya kidijitali ikifika wakati wa kuaibishana au kumuinua mtoto, unawaweka watoto wako wazi kwa wanyanyasaji wa kingono wanaowawinda watoto au watu hatari wa aina yoyote ile.
Wazazi lazima wazingatie kwa uangalifu taarifa za kuweka mtandaoni kuhusu watoto wao ili kuwalinda sasa na siku zijazo.