Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Yaani uwe na uwezo wa kutoa mpunga wote huu halafu wanawake wakukatae!hata wa kuzugia tuu! No way..kuna kitu hakipo sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muamshe dogo asijekojoa kitandani.
 
Uwe na 70milion ushindwe kung'oa mwanamke unayemtaka akuzalie? Sie wenye 70k tunachagua nani atuzalie huku tukitoa matumizi ya ugali tembele na dagaa, ulikwama wapi mkuu?

Ningekuwa na 70milioni, ningeweza kumuweka hata ****!, tena asingeniringia hata kidogo...

Anyway, hongera sana kwa twins.
 
Wewe umeshaonaga wapi introvert anajichanganya na watu, haimaanishi shiishi na watu vizuri naishi nao vizuri
Intravert ninini bhana acha u cho ko,wew sema hudindi tujue moja umeamua kujiongeza
Na kwahilo tutakupa pongenzi
 
Wewe umeshaonaga wapi introvert anajichanganya na watu, haimaanishi shiishi na watu vizuri naishi nao vizuri
Najua vizuri sana mkuu,hapo ndio kiini cha tatizo lako,hata mimi zamani nilikuwa hivyo ila kilichonisaidia nilisafiri sana na kukutana na watu wa aina mbalimbali ikanibadilisha kiasi kikubwa nikafunguka sasa hivi wanawake si tatizo kabisa kwangu.
Kitu kingine inatakiwa ukijue siku hizi hatutongozi wanawake kwa kuwavizia barabarani kama zamani,siku hizi kuna mitandao facebook,instagram na mingine mingi unaitumia hiyo kuchat nao unamaliza kila kitu kabla ya kuonana hii ni rahisi sana kwa watu wazito na wenye aibu ya kuongea laivu.
 
Mim Sina aibu ya kuongea na mwanamke Ila ndo hivyo sasahivi Niko na plan b
 
Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua

Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not for everyone

Surrogate ni mkombozi kwa sisi wanaume ambao tuna damu za kunguni/kunguni a.k.a za kukataliwa na wanawake

The positive things Sina kinyogo au chuki dhidi ya wanawake kabisa hadi wale walionikataa, Maisha haya ni mafupi na kamwe huwezi nikuta nikiwaponda wanawake naheshimu maamuzi yao hata kama mimi sikuyapenda

Gharama nilizotumia ni million 70 zinajumuisha gharama za hospital, kumlipa mwanasheria, kumlipa surrogate mother na kununua Yai la kike

Lengo la uzi halina maana ya kujikweza kwamba ni tajiri hapana, kutumia million 70 kwenye surrogate haina maana kwamba ni tajiri ni mpambanaji wa kawaida hata wakiambiwa matajiri watoke siwez toka, na mwisho lengo la uzi halina maana ya kutafuta wanawake nimeshaire na nyie sababu hii ni forum
Tangazo la biashara
 
A lot of hospitals offer Ivf in Tanzania . Tena in 5 years zitaongezeka twice the number with a lot gynecologist price itashuka
 
Nilimtafuta mwanamke nikampa ela kupitia mwanasheria akabeba mimba miez Tisa baada ya kujifungua watoto mapacha nikachukua watoto wangu nikampa hela tuliyokubaliana kila mtu Akala hamsin zake.

Mmmh labda kahaba tena wa mbali kabisa ndo anaweza fanya ujinga huo
 
Back
Top Bottom