Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Mi nnachoona ushoga unashamiri kwa kasi sana maana mtu anajisifia kabisa kuchukia wanawake, kwa kigezo cha kwamba ni stress mara fyoko fyoko sasa ndg ukichukia wanawake manake unapenda wanaume wenzio wakupe kampani na wakufirimbe,, huu uzi una mashoga wengi kinoma

Wengine wanashadadia ooh ndo dawa yao,, [emoji23][emoji23][emoji23] surrogate sio matako eti, hela mnazo au mnabwata tu
Umesoma vizuri uzi wa jamaa???
Hajasema hana hisia na mademu isipokua mademu ndo hawana hisia nae ndo maana kaamua kufanya ivo..
Kila chanzo kina chanzo mkuu
 
Nionyeshe huo uzi au comment ambao ninaponda ndoa sababu nikama unanlisha maneno

Hao wanawake wanaowapa mahari Wanaume wawaoe wana-hisia nao, mwanamke kama hana hisia na wewe hawezi kukupa mahari ukamuoe
Mfano reality ya maisha kila ukitaka kufanya jambo flani linagoma solution ni kuangalia plan b, uwezi stick na plan ambayo it ain't working
Women are ruthless kwa wanaume wasio na hisia nao.. sio kama wanaume, mwanaume demu anaeza kukuzimikia na we humuelewi ila uez kumshit km takataka ila wanawake sasa[emoji23]
 
Umesoma vizuri uzi wa jamaa???
Hajasema hana hisia na mademu isipokua mademu ndo hawana hisia nae ndo maana kaamua kufanya ivo..
Kila chanzo kina chanzo mkuu
Umesoma comments zilizofuata kabla ya kunukuu hii ya kwangu
 
Kwani una tatizo gani bro mpaka ukataliwr namna hiyo..maana siamini Kama una damu ya kunguni
Hakuna kitu kinachoitwa damu ya kunguni,hata kunguni wanazaa na kunguni wenzao,kwanini asingetafuta kunguni mwenzake,kwenye huu uzi tu kuna Dada kaomba amlelee na kumzalia mapacha,unadhani angeaamua kuleta Uzi wa kutafuta mwanamke wa kuo angekosa?
 
Women are ruthless kwa wanaume wasio na hisia nao.. sio kama wanaume, mwanaume demu anaeza kukuzimikia na we humuelewi ila uez kumshit km takataka ila wanawake sasa[emoji23]
That's my point modern women kama hawana hisia na wewe kaa nao mbali ukilazimisha utajuta majuto makuu uko nae lakin paap amekutana na crush wake huna chako

Mwanamke kama ana hisia na wewe haimaanishi kwamba hatopenda Wanaume wengine atawapenda Ila kitakachosaidia kwenye mahusiano yenu ni kwamba na wewe pia na ana hisia na wewe kwa hiyo hatawehuka sana ni tofauti kama hakupendi kabisa akitokea mwanaume anayempenda anakupiga chini chap kwa haraka

Hata kwa Wanaume mfano mim nikimpenda mwanamke na nikiwa nae kwenye mahusiano Haina maana sitaendelea kuwapenda wanawake wengine ntaendelea kuwapenda Ila kitakachosaidia ni kwamba mim nampenda mwanamke niliyekua nae kwa hiyo sitawehuka sana
 
Hakuna kitu kinachoitwa damu ya kunguni,hata kunguni wanazaa na kunguni wenzao,kwanini asingetafuta kunguni mwenzake,kwenye huu uzi tu kuna Dada kaomba amlelee na kumzalia mapacha,unadhani angeaamua kuleta Uzi wa kutafuta mwanamke wa kuo angekosa?
Hawa wanawake wa jf mostly wanafanya joking sio wa kuwachukulia serious maisha hayawez kuwa marahisi hivyo alafu sijaanzisha uzi ili kutafuta wanawake mim kufanya hivyo sio smart
 
Umesoma comments zilizofuata kabla ya kunukuu hii ya kwangu
Naomba nikuulize swali hivi unaweza ingia mahusiano na mwanaume usiyekua na hisia naye nimekuuliza kistaarabu na kwa nia nzuri
 
Naomba nikuulize swali hivi unaweza ingia mahusiano na mwanaume usiyekua na hisia naye nimekuuliza kistaarabu na kwa nia nzuri
We bhana weee, uzae peke yako, uzalie kwenye incubator, uzae na mwanamke au wanawake uzae na nyau au ngedere, uzalishwe na wanaume wenzio utajiju, usijitafutishe huruma sikuzai ebooo
 
We bhana weee, uzae peke yako, uzalie kwenye incubator, uzae na mwanamke au wanawake uzae na nyau au ngedere, uzalishwe na wanaume wenzio utajiju, usijitafutishe huruma sikuzai ebooo
Mim sitafuti huruma dada ndo maana nimeleta uzi baada ya kupata watoto kwa njia ya surrogate hii ni forum nimeona ni share na watu kitu ambacho sio kosa
 
Acha uongo mkuu kama una uwezo wa kugharamia hiyo huduma kwa milion 70 hivi Ni mwanamke gan hapa mjini atakukataa la sivyo utuambie hizo pesa hazijatoka mfukoni kwako umefadhiliwa.
Hata mimi nimemuuliza swali kama hilo hakunipa majibu ya kueleweka.
Ukishakuwa na pesa wanawake wanajilengesha wenyewe tu bila hata kuwatongoza.
 
Hata mimi nimemuuliza swali kama hilo hakunipa majibu ya kueleweka.
Ukishakuwa na pesa wanawake wanajilengesha wenyewe tu bila hata kuwatongoza.
Nani kakudanganya kwamba unawapata bila kuwatongoza hata ukiwa na hela kukataliwa kupo pale pale
 
Nani kakudanganya kwamba unawapata bila kuwatongoza hata ukiwa na hela kukataliwa kupo pale pale
Kukataliwa kupo hatukatai na inategemea viwango vya huyo mwanamke uliyemtongoza akakukataa,kama level yake ni kubwa kukuzidi kuna probarbility ya kukataliwa.
Ila kwenye mada yako umeandika kila mwanamke uliyemtongoza alikataa,hapa ndio imeleta sintofahamu.
Mimi naongea kwa uzoefu mkuu nilishawahi kuishi maisha ya chini,baadae nikaja kuishi maisha ya pesa kuna utofauti mkubwa sana niliuona kati ya maisha ya pesa na ya kutokuwa na pesa.
Ukiwa na pesa automatically utapata wapambe,hao wapambe watakuletea mademu wa kila sampuli ili mradi uchukue mmoja.
Ukiwa na pesa hata ukienda bar au restaurant kupata kiburudisho wanawake watapigana vikumbo kutaka kuikaribia meza yako ili mradi uwatongoze.
Sasa ukituambia haya mambo huyajui na una uwezo wa kutumia milioni 70 kwa ajili ya hiyo huduma inatushangaza.
 
Nimeshajaribu almost kila mwanamke nikimaanisha sampuli zote mpaka beki tatu mambo yalikua magumu,

Ulichosema kinaukweli kwa asilimia Zaid ya 90 lakin sio 100 nawajua baadhi ya watu wana hela na bado wana-struggle kwenye mapenzi,

Mim sio kwamba naela hapana bado ni mpambanaji katika watu wenye hela siwez toka
 
Kila mwanamke nikimaanisha sampuli zote mpaka beki tatu mambo yalikua magumu, sio mim tu nawajua baadhi ya watu wana hela na bado wana-struggle kwenye mapenzi
Basi nishajua kinachokusumbua,kuna aina fulani ya watu kutokana na malezi aliyopitia hushindwa kuendana na mazingira au kujichanganya na watu.
Athari yake ndio kama hiyo huja baadae.
 
Basi nishajua kinachokusumbua,kuna aina fulani ya watu kutokana na malezi aliyopitia hushindwa kuendana na mazingira au kujichanganya na watu.
Athari yake ndio kama hiyo huja baadae.
Wewe umeshaonaga wapi introvert anajichanganya na watu, haimaanishi shiishi na watu vizuri naishi nao vizuri
 
Niweke hili wazi
Lengo la uzi halina maana ya kujikweza kwamba ni tajiri hapana, kutumia million 70 kwenye surrogate haina maana kwamba ni tajiri ni mpambanaji wa kawaida hata wakiambiwa matajiri watoke siwez toka, na mwisho lengo la uzi halina maana ya kutafuta wanawake nimeshaire na nyie sababu hii ni forum
 
Back
Top Bottom