@keisangora Ahsante, shukran Mkuu.
Maneno umeyatema kwa ukuu wa ufahamu wako Mwalim.
Hivi sasa ni saa 11:20 pm nimesoma maneno yako mara kadhaa nakahisi faraja kwa yanayonikuta. Kwangu imekuwa sababu ya kujipa moyo na kuacha kutafakari malimwengu.
Mimi nalala. Akipenda Mungu kuniamsha salama nahakika nitaamka mpya
keisangora.
Mungu aibarike JF na lejendi kama wewe mkuu.
Don't try to figure out what's about life but rather fall in love with something and do it repeatedly. Don't ever try because none ever figured out what's life is.
Thank you.
Maisha mkuu Ni just repeatable fashion mode. Kama tulalavyo na kuamka everyday.
Birds wanaamka kila siku na kurudi kulala,dunia inazunguka the same way,fundi anajenga the same,tunazaliwa na kukua na kufa the same way,mto una flow the same,mti unakuwa the same way. Majira ya mwaka Ni Yale Yale the same way the same time. Teacher ana approach kazi yake the same way , hajawahi change,hakimu ,jaji ,wakili Wana the same methodology ya ku approach kazi zao,mhasibu,hr the same way, predators Wana hunt the same way prey wao. Mfano puma ana winda by patiently waiting and ambush na Ni solo Hunter,akishindwa anakubaliana fasta anarudi kutega hapotezi Sana yaani Hana hasara Kama African Savana lion anayewinda kwa stalking and seeking opportunity anakimbiza na kupata a lot of injuries and losses.
Kila kiumbe kina adaptive features zake in that environment.
Hata kutongoza we approach the same technique so Ile mhubiri kusema kuwa hakuna jipya chini ya jua Ni kweli na Suleiman akadai yote Ni mbatili tupu akakazia kuwa ukimpa mwanamke hela yako ukitoka kwake Ni majuto so ni nature.
Yaank we act/react/response the same way in the same stimuli binadamu wote dunia nzima.
Ukipata hela like jackpot all we feel the same,ubongo wetu ukiomyeshwa sex nude photo,spicy food or Money ukiu scan kwa MRI wote dunia nzima ubongo unaonyesha the same morphology.
Wote we're driven by envy,greed,fear, hope ,our decisions Zina base on these human emotions hakuna kingine zaidi.
Mtu anakatalia kwenye salary ama kuishi sehemu fulani Mana ana fear hajui huko aendako patakuwaje. So ana stuck hapo hapo hasogei mwishowe tunazeekea hapo hapo.