Kwa hii comment nimekuona bado u mtt kiakili.
Swai jepesi unajua Ni wangapi walitaka kuwa madaktari ama mainjinia sema alama zikawapeleka kwenye ualimu. Unadhani hao walioenda kwenye ualimu maisha hayaendelei bado.eti demu wa mwenye fantasies zako. Unadhani hata ungeoa malaika tokea mbinguni unadhani usingechepuka ,naomba umri wako hutojali.
Unajua almost 70% ya wamarekani wanafanya kazi ambazo hawazipendi. Ivyo to any parts za dunia. Mie sikupenda kusoma Ila bro alikuwa ananilazimishia skul Ila bado maisha yanaendelea.
YAni unaongea emotions na emotions Ni temporary Kama ilivyo furaha Kama hii uliyo nayo baadaye itaisha.
Ukipata demu mpya,kazi,gari,mtt,elimu,nyumba ,hasira , anything huwa Ni kwa muda mchache baadaye unarudi kwenye Hali yako. Hata saivi ukipata dola trillion baadaye utaziona hela Ni za kawaida Mana utatembea dunia nzima na kufanya ama na kumiliki unachotaka ama kutamani baadaye utarudia kuwa binadamu yule yule.
Unataka perfection ya maisha hutokaa uipate,unapata kazi pesa Mara hapa umeuguliwa ama mwanao akakata shule Mara umegongewa Mara jirani yako mnazozana eneo dogo la mpaka. Yaani hakuna perfection. nothing is really black or white thinking. Nothing is really zero or 100% . Tunaishi katika ulimwengu wa probability sema hatukubaliani ivyo Mana brain yetu haipendi ama haijaumbwa ku function in PROBABILISTIC modal. We're love to think as if yesterday is today.
Yaani tunapenda mno certainty na wakati life is full of uncertainties,we love to be in comfortable situation.
Iko hivi hata hapo Kama uko ofisini Kuna keep unaiona,Kama una biashara kuna shida labda hapo pembeni yako jirani yako anakuonea wivu na Ana chuki tu bila sababu.
Nikuambie tu hata Kama unaishi kwako bado unaona nyumbani kwako Kuna vitu hujaviweka sawwa kisa hela. Kama umejenga madale unatamani ungekuwa mbezi Masaki kapri point,Kama una gari ya 100M ukikutana na mtu wa gari ya 500M unajidharau.
Life has never been perfect ever never ever since the dawn.
Hata uweje na mke ambaye dunia nzima akapendwa bado utachepuka ama utatamani.
Kama hujui ama hujanielewa nachokuambia.
Elewa tu kuwa
Sikio halijawahi choka kusikia ama kusikiliza .
Jicho halijawahi choka kuona ama kutizamana.
Miguu haijawahi kuchoka kutembea.
Kichwa ama ubongo haijawahi kuchoka kuwaza.
Pua haijawahi choka kunusa .
Moyo Sasa unadhani why uchoke kutamani hii Ni nature huwezi pingana na nature labda itabidi ufe.
Jiulize why dunia haijawahi choka kuzunguka kwa mhimili wake ikatupa usiku na mchana ,na ikazunguka jua tukapata majira manne ya mwaka like kipupwe,mvua n.k.
Ndege hajawahi choka kujitafutia riziki.
Mto hujawahi choka ku flow.
Mfumo wa mzunguko wa maji aka hydrological system hujawahi choka kufanya kazi yake.
Mdomo hujawahi choka ama tosheka kula.
Tumbo halijawahi choka kushiba chakula ama lichoke chakula.
Naweza nikaandika mpaka kesho Ila Kama una nia ya kuelewa utaelewa.
Unadhani wote walioana wameona na waliowapenda kidhati ,unadhani wote wenye wazazi unadhani huwa hawatamani Kama wazazi wao nao wangekuwaga mafisadi ili wangesomea na kukulia huko mambele.
Nakuona bado unaendeshwa na ego yaani unataka kama labda uonekane you're so special hapa duniani. Wakati you're dust Iike me.