Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Nilimtafuta mwanamke nikampa ela kupitia mwanasheria akabeba mimba miez Tisa baada ya kujifungua watoto mapacha nikachukua watoto wangu nikampa hela tuliyokubaliana kila mtu Akala hamsin zake.
Kwa nini usimuoe huyo mwanamke bwasheee [emoji3166][emoji3166][emoji3166]
 
Huyo sasa ndio amekuzalia.

Maana 100% watoto ni wako,
mama alozaa hana chake hapo!

Mama anakuwa hajui hata sura ya mtoto ikoje, haruhusiwi kuwaona hata kidogo !
 
Back
Top Bottom