Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua

Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not for everyone

Surrogate ni mkombozi kwa sisi wanaume ambao tuna damu za kunguni a.k.a za kukataliwa na wanawake

The positive things Sina kinyogo au chuki dhidi ya wanawake kabisa hadi wale walionikataa, Maisha haya ni mafupi na kamwe huwezi nikuta nikiwaponda wanawake naheshimu maamuzi yao hata kama mimi sikuyapenda

Gharama nilizotumia ni million 70 zinajumuisha gharama za hospital, kumlipa mwanasheria, kumlipa surrogate mother na kununua Yai la kike

Mapenzi hayalazimishwi

Huna hiyo pesa ,Kama ungekuwa nayo hata ungekuwa na sura Kama bundi ni wanawake wachache sana wangekuwa na jeuri ya kukukataa
 
Kwa nini hili swali ni muhimu?

Tunaweza kujadili hoja badala ya kunijadili mimi?
Ndio ni muhimu kwa sababu umesema bila watoto watu wanahisi hawataishi...jibu swali langu then tuendeleze mjadala
 
Ndio ni muhimu kwa sababu umesema bila watoto watu wanahisi hawataishi...jibu swali langu then tuendeleze mjadala
Wapi nimesema bila watoto watu wanahisi hawataishi?

Na kama nimesema hilo, hilo linalazimishaje liwe muhimu?

Unaelewa hypothetical question ni nini na statement ni nini na tofauti yake?

Au unapuyanga tu kwa hisa kama guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo?
 
Huna hiyo pesa ,Kama ungekuwa nayo hata ungekuwa na sura Kama bundi ni wanawake wachache sana wangekuwa na jeuri ya kukukataa
Hiyo umesema wewe, huwajui wanawake vizuri unahela zako na unakataliwa vizuri tu, na anamkubalia mtu mwenye kipato cha chini yako
 
Haahaaa nakuzaa nipe heshima yangu tu ..kiukweli inakera
Mwanamke mwenye umri wa kuweza kunizaa mimi hana uwezo wa kuandika na kupost kwenye social media. Kwa hiyo nina uhakika huwezi kunizaa, unless otherwise uwe exceptional, kama nilivyosema kwenye post ya awali..

Mambo mengine vipi Muhenga mwenzangu, Hawajambo Ikungi?
 
Kwani bila kuishi na huyo mwanamke mimba haiingii? Vipi mkifanya hiyo IVF na bado mama akabaki na wanawe mkubaliane malezi? Huyo mtoto hata alelewe na best nanny Unafikiri hamu ya kumjua mama yake ndo itatoweka?

Mnafanya maamuzi mkiongozwa na chuki tu kwa wanawake, mara kugawana mali JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala your mali bwana, upendo Mkuu utakaomuonyesha mwanao au yeyotw yule ni kujali mahitaji na hisia zake, huwezi kumleta mtoto duniani umtenge na mama yake bila sababu za msingi halafu ujifanye unampenda, JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala ronaldo ndo Nani kwanza! Macelebrity sio Mungu kwamba kila wanchofanya waigwe.

Ondoeni chuki mliyonayo kwa wanawake. Iponyesheni mioyo yenu iliyojaa sumu na maumivu. Anzisheni familia bora.

Mnachofanya hapa hakina tofauti na ushoga. Mama ni mama mtoto asinyimwe mama kisa kuna mwanamke kakupiga tukio au kisa wanawake unaowataka hawakukubali sababu za kipumbavu sana. Kwaherini huu uzi ni utumbo
Uzi umejaa magasho huu nimesema tangu mwanzo ili chuki zao zibalance ina wafanyane mpk watungishane mimba basi mbona bado wanarudi kuwatumia hao hao wanawake kwa njia ya surrogate ili wapate watoto
 
Siwezag show-off hata kidogo na hapo utapendewa ela na sio kingine

Sasa unataka upendwe na mwanamke? Au haujawai kumsikiliza pastor Maboya? Mwanamke ndio anapendwa ,wewe unatakiwa uheshimiwe tu.
 
Mwanamke mwenye umri wa kuweza kunizaa mimi hana uwezo wa kuandika na kupost kwenye social media. Kwa hiyo nina uhakika huwezi kunizaa, unless otherwise uwe exceptional, kama nilivyosema kwenye post ya awali..

Mambo mengine vipi Muhenga mwenzangu, Hawajambo Ikungi?
Ikungi hawajambo😊
 
Huu ni uongo uwe na 70m cash hiyo ni kufanikisha tu jambo fulani maana yake una utajiri mkubwa sana kwà viwango vya nchi maskini kama tanzania. Halafu wanawake wakukatae sio kweli. Kwanza wanawake wa Tanzania ni wakarimu hawajui kubana mapaja.
Kaangalia movie halafi kajifanya ndo yeye😂😂😂
 
Back
Top Bottom