Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Yaan kwenye hii mada kuna kitu mtoa uzi anaelezea lkn wengi hawaelewi ikiwemo ww na ndo maana unasema hvo.

Mfano unakuta mwanaume anapenda wanawake aina fln lkn wanawake wa aina hio hawajawahi kumkubali kila akitongoza anakataliwa au anakubaliwa lkn anafanyiwa visa coz dem kaja ili kumchuna tu.

Na ndoa sio tu kubebana bebana inabidi mkutane watu mnaoendana na kupendana ili kuwa na familia bora na ndoa yenye amani.

Sasa wewe unasema mwanaume aende kijijini kuzoa zoa tu mtu yyt sijui unamaanisha nini
Kwahiyo kuliko kuchagua mwanamke asiye wa matamanio yako mzae mkubaliane kulea unaona bora uzae watoto wasio na mama? 🥴
 
Huu uzi wanawake wote wanapaswa kuja kuusoma na kujifunza kitu. Maana wamezidi kuringa na sasa ndiyo kabisaa wamegeuza mapenzi kama eti ni kitega uchumi. Umemmiss uunataka kwenda kumwona mara anakwambia umwendee na elfu ishirini ya kusuka, mara hela sijui ya lotion. So tired,.. bora kutafuta tu surrogate maisha yaendelee
Usisahau Culture Me naye alipata mtoto kwa njia hii bila kuwa na baba. Alinunua s.perms! Hivyo si tu wanawake na wanaume pia
 
Hivi mmeenda hata kijijini mkakosa mke mpaka mzae watoto wasio na mama 🥴
Hao wanawake wa kijijini ni mpaka wawe na hisia na wewe Dunia imebadilika zaman unaweza oa mwanamke ambaye Hana hisia na wewe na ndoa ikawa nzuri Ila si hawa wa sasa hivi
 
safi sana, hawa malaya wa miaka hii waache wajioe wenyewe
 
Unachukulia kuzaa na mtu urahisi sana, hujui huo ni ushahidi tosha wa kuja kugawana mali ambalo ji jasho la mtu coz kisheria mkikaa miezi sita tu tyr nyie ni wanandoa na hadi kuzaa inamaanisha umekaa na mtu zaidi ya miezi tisa.

Lkn ndo maana nmesema toka hapo juu kwamba kuna IVF na hii mikataba mtu anaingia na mwanamke kwamba wazae tu then baada ya kuzaa mwanamke hana haki yyt kwa mtoto na atalipwa chake aondoke, hio hata Cristiano Ronaldo alifanya kwa mwanamke alomzalia mtoto wa kwanza, hizo option hazimaanishi mtoto hana mama, IVF sio cloning, ni jukumu la baba tu kutafuta nanny mzr au yy mwenyewe ajitolee kuwa karibu zaidi na watoto wake
Kwani bila kuishi na huyo mwanamke mimba haiingii? Vipi mkifanya hiyo IVF na bado mama akabaki na wanawe mkubaliane malezi? Huyo mtoto hata alelewe na best nanny Unafikiri hamu ya kumjua mama yake ndo itatoweka?

Mnafanya maamuzi mkiongozwa na chuki tu kwa wanawake, mara kugawana mali https://jamii.app/JFUserGuide your mali bwana, upendo Mkuu utakaomuonyesha mwanao au yeyotw yule ni kujali mahitaji na hisia zake, huwezi kumleta mtoto duniani umtenge na mama yake bila sababu za msingi halafu ujifanye unampenda, https://jamii.app/JFUserGuide ronaldo ndo Nani kwanza! Macelebrity sio Mungu kwamba kila wanchofanya waigwe.

Ondoeni chuki mliyonayo kwa wanawake. Iponyesheni mioyo yenu iliyojaa sumu na maumivu. Anzisheni familia bora.

Mnachofanya hapa hakina tofauti na ushoga. Mama ni mama mtoto asinyimwe mama kisa kuna mwanamke kakupiga tukio au kisa wanawake unaowataka hawakukubali sababu za kipumbavu sana. Kwaherini huu uzi ni utumbo
 
Huu ni uongo uwe na 70m cash hiyo ni kufanikisha tu jambo fulani maana yake una utajiri mkubwa sana kwà viwango vya nchi maskini kama tanzania. Halafu wanawake wakukatae sio kweli. Kwanza wanawake wa Tanzania ni wakarimu hawajui kubana mapaja.
 
Kwani bila kuishi na huyo mwanamke mimba haiingii? Vipi mkifanya hiyo IVF na bado mama akabaki na wanawe mkubaliane malezi? Huyo mtoto hata alelewe na best nanny Unafikiri hamu ya kumjua mama yake ndo itatoweka?

Mnafanya maamuzi mkiongozwa na chuki tu kwa wanawake, mara kugawana mali JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala your mali bwana, upendo Mkuu utakaomuonyesha mwanao au yeyotw yule ni kujali mahitaji na hisia zake, huwezi kumleta mtoto duniani umtenge na mama yake bila sababu za msingi halafu ujifanye unampenda, JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala ronaldo ndo Nani kwanza! Macelebrity sio Mungu kwamba kila wanchofanya waigwe.

Mapenzi hayalazimishwi hilo unatakiwa ulifahamu, na mim sina chuki na wanawake ili iweje
 
Huu ni uongo uwe na 70m cash hiyo ni kufanikisha tu jambo fulani maana yake una utajiri mkubwa sana kwà viwango vya nchi maskini kama tanzania. Halafu wanawake wakukatae sio kweli. Kwanza wanawake wa Tanzania ni wakarimu hawajui kubana mapaja.
Nani alikudanganya na hela zako unakataliwa sasa kama watu hawana hisia na wewe unategemea nin uwabake ama
 
Kwani bila kuishi na huyo mwanamke mimba haiingii? Vipi mkifanya hiyo IVF na bado mama akabaki na wanawe mkubaliane malezi? Huyo mtoto hata alelewe na best nanny Unafikiri hamu ya kumjua mama yake ndo itatoweka?

Mnafanya maamuzi mkiongozwa na chuki tu kwa wanawake, mara kugawana mali JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala your mali bwana, upendo Mkuu utakaomuonyesha mwanao au yeyotw yule ni kujali mahitaji na hisia zake, huwezi kumleta mtoto duniani umtenge na mama yake bila sababu za msingi halafu ujifanye unampenda, JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala ronaldo ndo Nani kwanza! Macelebrity sio Mungu kwamba kila wanchofanya waigwe.

Ondoeni chuki mliyonayo kwa wanawake. Iponyesheni mioyo yenu iliyojaa sumu na maumivu. Anzisheni familia bora.

Mnachofanya hapa hakina tofauti na ushoga. Mama ni mama mtoto asinyimwe mama kisa kuna mwanamke kakupiga tukio au kisa wanawake unaowataka hawakukubali sababu za kipumbavu sana. Kwaherini huu uzi ni utumbo
Kuzaa na mwanamke asiyekua na hisia na wewe atakusumbua kwenye malezi ya mtoto utajuta yaan usijeukafanya hili Kosa sababu atakua anakukomoa
 
Yaan unaandika kama vile huoni na hujawahi kusikia migogoro inayotokea kwa sababu ya hicho unachosema.

Hujui kwamba kuna wanawake wamewafanya watoto wao kama vyanzo vya mapato kwa kudai fedha za malezi kutoka kwa baba zaidi ya mmoja. Kama huo ndo upendo unaoongelea basi bora mtoto asiupate.

Huoni jinsi wanawake wa siku hz wanavyowalea watoto wa kiume kama wa kike, wanavyowaremba na kuwapodoa, wanavyo-oga nao, wanavyowakingia kifua wakifanya upuuzi, wanavyowapa uhuru wa kupitiliza hadi kuwafungulia social media account, wanavyowasuka nywele na kuwavalisha heleni, wanavyokataa kuwalea na kuwakimbiza daycare wakiwa na umri mdogo na huko wanaenda kufanyiwa unyanyasaji.

Upendo gn unaoelezea mkuu, watoto wanashindishwa daycare au boarding school wakiwa wadogo kabisa na hawapati malezi hayo unayoyaita ya mama.

Huu uzi mie nngekua nmeacha kucomment toka Kapeace anitukane lkn lazima niseme kwamba chanzo cha 90% ya matatizo kwenye ndoa na makuzi ya watoto ni kwa wanawake kubadili mifumo ya maisha yao na kuacha kuishi kama walivokua wanaishi bibi zao, na hilo ndo linafanya wanaume wanaojitambua kushika jukumu la malezi peke yao
Wewe unapromote ushoga tu hapa huna lolote. Mwanaume kamili hawezi kuacha kujua nafasi ya mwanamke kwenye malezi na makuzi ya mtoto
 
Kuzaa na mwanamke asiyekua na hisia na wewe atakusumbua kwenye malezi ya mtoto utajuta yaan usijeukafanya hili Kosa sababu atakua anakukomoa
Nyie hamna akili ndomaana wanawake hawawataki, huzuni kwa watoto watakaotoka viunoni mwenu
 
Back
Top Bottom