Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Baada ya vibuti na kukataliwa na wanawake wengi finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua

Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not for everyone

Surrogate ni mkombozi kwa sisi wanaume ambao tuna damu za kunguni a.k.a za kukataliwa na wanawake

The positive things Sina kinyogo au chuki dhidi ya wanawake kabisa hadi wale walionikataa, Maisha haya ni mafupi na kamwe huwezi nikuta nikiwaponda wanawake naheshimu maamuzi yao hata kama mimi sikuyapenda

Gharama nilizotumia ni million 70 zinajumuisha gharama za hospital, kumlipa mwanasheria, kumlipa surrogate mother na kununua Yai la kike

Hongera sana ndugu
 
Hakuna cha majibu ya mantiki na logic kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha ayatakayo
Mara unakubali huwezi kujenga hoja kimantiki.

Halafu hapo hapo unakanusha umuhimunwa kujenga hoja kimantiki.

Hata hapo unaonesha huwezi kujenga hoja kimantiki.

Hilo la uhuru si kitu ambacho kimebishiwa.

Wewe ni jama mtu unayesisitiza damu ni nyekundu, wakati hoja haikatai damu ni nyekundu, inaukiza kwa nini damu ni nyekundu.

Mimi: Kwa nini damu ni nyekundu?

Wewe: Ndivyo ilivyo.

Mimi: Sawa ndivyo ilivyo, lakini kwa nini ni nyekundu?

Wewe: Ina uhuru wa juwa rangi yoyote, imeamua juwa nyekundu.

Mimi: Ndiyo ina uhuru, lakini kwa nini imechagua kuwa nyekundu?

Wewe: Ndivyo ilivyo.

Huna majibu ya kimantiki.
 
Nilimtafuta mwanamke nikampa ela kupitia mwanasheria akabeba mimba miez Tisa baada ya kujifungua watoto mapacha nikachukua watoto wangu nikampa hela tuliyokubaliana kila mtu Akala hamsin zake
Mkuu hayo maswali kwa watoto utakuja kuyajibu?
 
Mara unakubali huwezi kujenga hoja kimantiki.

Halafu hapo hapo unakanusha umuhimunwa kujenga hoja kimantiki.

Hata hapo unaonesha huwezi kujenga hoja kimantiki.

Hilo la uhuru si kitu ambacho kimebishiwa.

Wewe ni jama mtu unayesisitiza damu ni nyekundu, wakati hoja haikatai damu ni nyekundu, inaukiza kwa nini damu ni nyekundu.

Mimi: Kwa nini damu ni nyekundu?

Wewe: Ndivyo ilivyo.

Mimi: Sawa ndivyo ilivyo, lakini kwa nini ni nyekundu?

Wewe: Ina uhuru wa juwa rangi yoyote, imeamua juwa nyekundu.

Mimi: Ndiyo ina uhuru, lakini kwa nini imechagua kuwa nyekundu?

Wewe: Ndivyo ilivyo.

Huna majibu ya kimantiki.
hata nikikujibu kimantiki huna msaada wowote kwenye maisha yangu in-short uniongezei chochote au unipunguzii choote
 
Tatizo umejifikiria ww tu wala hujafikiria makuzi na psycology na makuzi ya hao wanao.
Amini nakwambia "Ipo siku utajuta" kwa hiki ulichokifanya.
Mungu si mwehu kuweka baba na mama.
Chunga sana wanao wasije imba wimbo wa Michael Jackson - Earth song hasa ile chorus( what about us!)
Siwez juta kwa sababu plan A technically has been failed, I don't love the strategy but I love the results don't blame me instead blame game
 
Umuefanya Jambo zuri na lakutukuka .
Wanawake wa Tz ni zaidi ya uchafu
Mtu Kama una hela Huwezi kukubari kuzaa na hawa Malaya wa Tz wachafu , wazinzi hawajui kulea watoto Wala kupika na kufua hata Mungu hawamjui
 
We mpuuzi tu.

Kutukana wanaume hvo ndo kitu huwa mnakimbilia mkiishiwa point.

Mtu kama hapendwi lkn ananunua pvssy unategemea aje kuzaa na huyo anaeuza kitobo chake? Em tumia akili basi kabla hujaongea upuuzi wako.

Kwa hali ya sasa kama mwanaume hupendwi lkn unajiweza ni bora kununua madem tu thn watoto unafanya IVF hio ni bora kuliko kulazimisha kukaa na mtoto wa mtu, upoteze hela kumuhudumia af mwisho wa siku uishie kupiga risasi kwa sababu ya umalaya wake.
Ni ngumu sana kuishi na mwanamke asiyekua na hisia na wewe hata uwe trillionnaire akishakuja kwako lazima atatafuta mwanaume ambaye Roho yake inapenda na ndo usaliti unapoanza Sasa kwanin kupotezeana mda nawakati science imefanya mambo mengi kuwa possible
 
Wewe ngumbaru hujui hata herufi za Kiswahili, hujui tofauti ya "unipunguzii" na "hunipunguzii".

Ndiyo maana wanawake wanakukataa domo zege ngumbaru wewe.
Sawa mim ni ngumbaru nilishakuja kukulia shida mim siwez kukudharau sababu sikujui na sijafundishwaga kumdharau mtu nisiyemjua
 
Back
Top Bottom