Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Nimesoma comments zote ila sijaona jibu la swali unaloulizwa kuwa umefanyia wapi? bongo au nje?
Hospital gani? Gharama kiasi gani? Nini kinahitajika to process.
Maana watu labda wako interested na kutaka kufata nyayo zako.
Anakwepa maswali ya msingi.
 
Baada ya vibuti na kukataliwa na wanawake wengi finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua

Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not for everyone

Surrogate ni mkombozi kwa sisi wanaume ambao tuna damu za kunguni a.k.a za kukataliwa na wanawake

The positive things Sina kinyogo au chuki dhidi ya wanawake kabisa hadi wale walionikataa, Maisha haya ni mafupi na kamwe huwezi nikuta nikiwaponda wanawake naheshimu maamuzi yao hata kama mimi sikuyapenda
Em tuone sura yako ndo tuchangie mada
 
Nina ndugu yangu yeye sio kukataliwa ila yeye ndo hapendi wanawake.... Kuna ndugu wengine walioa wanawake sio...vitimbi chuki ndo zao.... nadhani vilimuathiri na akaona akipata mke anaweza kuishia kuwa na tabia zile zile.....

Sishangai njia hii ni nzuri. Swala la uwezo lipo juu ya muhusika as long as hajaomba msaada katoa ushuuda tu
Mim napenda Ila nakataliwa
 
Umerogwa au haya ni maigizo yako km mmoja aliekwambia kuwa unaangalia movie then unajifanya ndo wewe,

Tanzania hii huwezi kosa mwanamke full stop

Kuhusu ushoga ujumbe unawahusu wale wanaochukia wanawake,
Mim nimekosa ndo maana nikaamua kutumia surrogate kujenga familia unaweza usiamini Ila ndo uhalisia na ukweli wewe mwenyewe mwanaume usiyekua na hisia naye huwez mkubali
 
Mim nimekosa ndo maana nikaamua kutumia surrogate kujenga familia unaweza usiamini Ila ndo uhalisia na ukweli wewe mwenyewe mwanaume usiyekua na hisia naye huwez mkubali
Gharama ni shilingi ngap mbona hujibu hili
 
Thanks mkuu. I count him braver the one who conquer himself.This is greatest victory must be desired to be achieved in this planet.
If I allow my enemy to enter into my mental space the battle is already lost.
Kikuingiacho hakikutii unajisi Bali kikutokacho.
Kama yai likivunjika kwa external force life ends but if breaks by internal force the life continues. Kikutokacho kina nguvu mno kuliko kikuingiacho. Masihi hakukosea.
No matter how brave you are huwez lazimisha upendo ndo maana hata Mungu hakumlazimisha adamu kumpenda kama hupendwi hupendwi tu
 
Mimi bhana, sina damu ya kunguni lakini dah, hakuna jambo ninaloona gumu kama kuishi na mwanamke!

I'm too old now but sijawahi kabisa kuishi na mwanamke kwa staili ya kupika na kupakua! Sipendi kabisa kitu kinachoitwa stress maishani mwangu, na hususani stress za kitu kinachoitwa mapenzi.

Nahisi mwili wangu umegoma hata kuzeeka kwa sababu upo free from useless stresses!

Uzi wako ni muhimu sana kwa watu tusiotaka makorogesheni ya kitu kinachoitwa mapenzi!!
Kwahiyo wanawake ni stress?

Nyie wanaume mna matatizo sana nyie [emoji848][emoji848]
 
Mi nnachoona ushoga unashamiri kwa kasi sana maana mtu anajisifia kabisa kuchukia wanawake, kwa kigezo cha kwamba ni stress mara fyoko fyoko sasa ndg ukichukia wanawake manake unapenda wanaume wenzio wakupe kampani na wakufirimbe,, huu uzi una mashoga wengi kinoma

Wengine wanashadadia ooh ndo dawa yao,, [emoji23][emoji23][emoji23] surrogate sio matako eti, hela mnazo au mnabwata tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji28][emoji28][emoji28][emoji14]
 
Mimi bado sijaelewa, na huenda nisiweze kuelewa, sababu ya watu kulazimisha kuwa na watoto.

Yani watu wengine ni kama vile bila watoto wanakuwa hawaishi.
binadamu wote wamepewa uhuru wa kuchagua maisha atakayo kuishi, wewe kama mtoto sio kipaombele basi ni vizuri, sisi wengine watoto ni kipaumbele
 
Mimi bado sijaelewa, na huenda nisiweze kuelewa, sababu ya watu kulazimisha kuwa na watoto.

Yani watu wengine ni kama vile bila watoto wanakuwa hawaishi.
@kiranga we una watoto?
 
Back
Top Bottom