Baada ya vibuti na kukataliwa na wanawake wengi finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua
Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not for everyone
Surrogate ni mkombozi kwa sisi wanaume ambao tuna damu za kunguni a.k.a za kukataliwa na wanawake
The positive things Sina kinyogo au chuki dhidi ya wanawake kabisa hadi wale walionikataa, Maisha haya ni mafupi na kamwe huwezi nikuta nikiwaponda wanawake naheshimu maamuzi yao hata kama mimi sikuyapenda