Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Kwahiyo wanawake ni stress?

Nyie wanaume mna matatizo sana nyie [emoji848][emoji848]
Mwanamke kama anakupenda na ana hisia na wewe hawez kuwa stress, kipengele ni pale mwanamke hakupendi au amekupendea hela ndo lazima akuletee stress
 
Ýaan una uwezo wa kulipa 70M kwa ajili ya huo upandikizaji afu unakataliwa na wanawake

Utakuwa na shida .
 
Mpango wa kuoa nilikua nao na napenda sana ndoa Ila ndio hivyo huwezi Amini niliambulia vibuti

Huwezi amini hakuna hata mmoja yaani surrogate imenitibu moyo wangu uliokua umepondeka pondeka
Daah mzee pole xanaa aisee yan huna tofauti xana na mimi historia yangu.
 
binadamu wote wamepewa uhuru wa kuchagua maisha atakayo kuishi, wewe kama mtoto sio kipaombele basi ni vizuri, sisi wengine watoto ni kipaumbele
Hilo sijalipinga. Sijasema watu hawana uhuru wa kuchagua.

Nimesema sielewi inakuwa vipi mtu ajione hajakamilika bila ya kuwa na mtoto.

Na wewe hujatoa hoja yoyote ya kuelezea kimantiki zaidi ya kuongelea uhuru na utashi wa mtu binafsi, kitu ambacho si hoja wala hakikubishiwa.

Halafu umejionesha kufanya logical non sequitar kwamba kutokuelewa kwangu huku ni sawa na kufanya mtoto kutokuwa kipaumbele.

Una matatizo ya kujenga hoja kimantiki.

Na inawezekana hii ni moja ya sababu siwaelewi watu wengi.

Hawana uwezo wa kujenga hoja kimantiki.

Wanapelekwa na hisia zaidi.
 
Mimi bado sijaelewa, na huenda nisiweze kuelewa, sababu ya watu kulazimisha kuwa na watoto.

Yani watu wengine ni kama vile bila watoto wanakuwa hawaishi.
Kupanga ni kuchagua mkuu. Sii kila mtu ana mawazo ama fikra kama zako.

Waswahili wanasema "Tusipangiane Maisha"
 
Kupanga ni kuchagua mkuu. Sii kila mtu ana mawazo ama fikra kama zako.

Waswahili wanasema "Tusipangiane Maisha"
Sijakataa kupanga ni kuchagua na sijataka kila mtu awe na mawazo kama yangu.

Na hujaongeza lolote katika kuelezea sababu za msingi kimantiki nje ya mumbo jumbo.
 
Sijakataa kupanga ni kuchagua na sijataka kila mtu awe na mawazo kama yangu.

Na hujaongeza lolote katika kuelezea sababu za msingi kimantiki nje ya mumbo jumbo.
We ishi unavyojua hutakaa uwajue wanadamu unaweza ukawatuhumu hawajui kujenga hoja lakin kila mtu anaishi anavyojua kikubwa hajavunja sheria
 
We ishi unavyojua hutakaa uwajue wanadamu unaweza ukawatuhumu hawajui kujenga hoja lakin kila mtu anaishi anavyojua kikubwa hajavunja sheria
Hapa ndipo naishi ninavyojua, kwa kuuliza maswali ambayo huna majibu yake na huwezi kujenga hoja za kimantiki kuyajibu.

Unataka niishi ninavyojua mimi kwa kunipangia wewe?
 
Hapa ndipo naishi ninavyojua, kwa kuuliza maswali ambayo huna majibu yake na huwezi kujenga hoja za kimantiki kuyajibu.

Unataka niishi ninavyojua mimi kwa kunipangia wewe?
Sawa siwez kujenga hoja kimantiki unalingine
 
Back
Top Bottom