Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Yaani uwe na uwezo wa kutoa mpunga wote huu halafu wanawake wakukatae!hata wa kuzugia tuu! No way..kuna kitu hakipo sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muamshe dogo asijekojoa kitandani.
 
Uwe na 70milion ushindwe kung'oa mwanamke unayemtaka akuzalie? Sie wenye 70k tunachagua nani atuzalie huku tukitoa matumizi ya ugali tembele na dagaa, ulikwama wapi mkuu?

Ningekuwa na 70milioni, ningeweza kumuweka hata ****!, tena asingeniringia hata kidogo...

Anyway, hongera sana kwa twins.
 
Wewe umeshaonaga wapi introvert anajichanganya na watu, haimaanishi shiishi na watu vizuri naishi nao vizuri
Intravert ninini bhana acha u cho ko,wew sema hudindi tujue moja umeamua kujiongeza
Na kwahilo tutakupa pongenzi
 
Wewe umeshaonaga wapi introvert anajichanganya na watu, haimaanishi shiishi na watu vizuri naishi nao vizuri
Najua vizuri sana mkuu,hapo ndio kiini cha tatizo lako,hata mimi zamani nilikuwa hivyo ila kilichonisaidia nilisafiri sana na kukutana na watu wa aina mbalimbali ikanibadilisha kiasi kikubwa nikafunguka sasa hivi wanawake si tatizo kabisa kwangu.
Kitu kingine inatakiwa ukijue siku hizi hatutongozi wanawake kwa kuwavizia barabarani kama zamani,siku hizi kuna mitandao facebook,instagram na mingine mingi unaitumia hiyo kuchat nao unamaliza kila kitu kabla ya kuonana hii ni rahisi sana kwa watu wazito na wenye aibu ya kuongea laivu.
 
Mim Sina aibu ya kuongea na mwanamke Ila ndo hivyo sasahivi Niko na plan b
 
Tangazo la biashara
 
A lot of hospitals offer Ivf in Tanzania . Tena in 5 years zitaongezeka twice the number with a lot gynecologist price itashuka
 
Nilimtafuta mwanamke nikampa ela kupitia mwanasheria akabeba mimba miez Tisa baada ya kujifungua watoto mapacha nikachukua watoto wangu nikampa hela tuliyokubaliana kila mtu Akala hamsin zake.

Mmmh labda kahaba tena wa mbali kabisa ndo anaweza fanya ujinga huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…