Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

uelewa wako mdg ndio maana mlitawaliwa almost miaka 100 , Gesi , mafuta + umeme , vyote hivyo unaweza ku recover tu , ila usalama wako hauna insurance km ilivyo Syria , Iraq , Somalia , Libyia , Nigeria na hata Yemen walishindwa kujiepua mapema kwa kuogopa gharama ndogo tu kisha wakayaingiza mataifa yao kwenye moto ambao hawawez uzima mpk dunia iingilie kati , Penda kuchukua tahadhari mapema
 
Hivi unadhani Mzungu ana akili sana.
Sema tu walitutangulia kufanya ugunduzi mbalimbali.
Wangekuwa wanaona mbali leo hii Ukraine isingekuwa magofu kwa issue ambayo ingetatuliwa peacefully.
Hawa Wazungu kuna possibility wakatuingiza kwenye WW3 kimasihara.
 
wenzio wanaangalia kesho zaid , kubakia neutral ni risk kwasasa maana Putin ameanza expansionism kateka majimbo mengi ya jirani kuanzia Georgia had Ukraine , so Finland wameona mbali sana gharama za kujiunga na NATO kwa ss hv ni ndogo kuliko wakisubir siku ije kuwa ya Ukraine , kujenga upya miji na kuondoa gap la umaskini ni kaz nzito kuliko kutafuta solution ya umeme , mafuta na gas , na kwasasa ikitokea Putin kavamia Finland bas itakuwa nyepesi kumuangusha maana threesome hatoiweza huyo Putin
 
Hata UK na US walisemwa hivi hivi ila now malipo ya ruble yanazidi kushamiri hapo Gazoprambank huku ruble ikiichua vizuri USD sokoni.
 
Marekani atagharimia hayo mahitaji ya Finland. Lengo ni kumkomoa tu Urusi. Hawajaomba kujiunga Nato kwa bahati mbaya, ni mpango madhubuti wa Marekani.
 
anachofanya Urusi ni mistake kubwa sana maana ana wa alert hata wanategemea bidhaa zake kwa > 60% basi waanze kujikwamua cos wanatambua ipo siku yatawakuta ya EU
Si bora Russia atakukatia umeme na Gas! US ndo analeta jeshi na Muungano wake wa Nato kuja kukung'oa kabisa! Alafu ata ao aliowakatia Gas mwisho wa siku mpango ni uleule unataka nunua kwa Ruble ili thaman ya pesa yao ipande sokon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja zako ni za namna hii afu unajiona una akili kuliko wazungu? saa nyingine kunyamaza ni kuzuri zaidi.
 
Kwani Putin alishawah kutishia kuivamia Finland? Inaelekea ata sababu za kupelema jeshi Ukraine huzujui! Yani ufahamu kabisa kuwa Marekani lengo lake kuu ni kuitumia Nato ili aisogelee Russia? Hujui kama kuna washauri walishauli huko nyuma kuwa mpango wa NATO kujitanua kuelekea mashariki eneo la mashariki mwa ulaya patakuja kuwaka moto?

Hujui kuwa kuna watu walishaiambia US kuwa ukitaka kumminya Urusi basi hakikisha unaifuata wewe kule iliko atakama kwa kuwanunua viongozi waliopo nchi jiran na Russia wanunue ila ukiruhusu Russia ikufate kama ilivyokafika Ujeruman Mashariki hutoiweza?

Hujui kuwa miaka ya 60 Marekan akitaka kuishambulia CUBA sababu tu Russia alikuwa anaweka makombora yake ya Nuclear na Marekan akaona kabisa kuwa Russia ataitumia Cuba kumchapia siku moja?

Unafikiri Marekan kufika mpk Taiwan ni kwa bahati mbaya? Marekan anachotaka yeye ni kuwafikia maadui zake kupitia mataif mengine akawachunguze na ata siku mkikorofishana anapigane vita kutumia mataifa yenu si faifa lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shangaa na ww watu wako busy kujenga mahandaki kila sehemu nchini kwao halafu washindwe kuweka misingi ya hatima yao kuhusu nishati mbadala ya Russia!!!!!???
 
Jana EU kawekeana saini na QR kuhusu mauziano ya gesi,so wanahamia urabuni
Huyo ni German pekee kwa kifupi Kila nchi na msalaba wake
The agreement with Qatar comes as Germany, Europe's biggest economy, looks for alternative energy supplies following Russia's invasion of Ukraine [Annegret Hilse/Reuters
 
Hivi Russia ni wajinga kiasi hicho kwamba wana vamia tu kijeshi nchi kama Ukraine bila sababu za msingi?

Au kuna mjinga mmoja yupo kati yao anatekeleza malengo yake binafsi?
 
Hiyo kujiunga Nato sio wao wenyewe wamejiamulia na hawakiwa hata wamejiandaa. Wameombwa na marekani wajiunge nato kwa ahadi nyingi hewa na wameshindwa kukataa
 
Hivi NATO ipo toka lini?
Na unaju fika kuwa NATO imeundwa maksudi ili kumkabili Russia, je toka NATO imeundwa imefanikiwa kumkabili au kumdhiti Russia aiendelee na malengo yake?
Je kama NATO ni suruhisho la kiusalama Duniani kwanini isimuondoe Russian kwenye Ramani ya Dunia ili kila mtu aishi kwa amani na bila hofu ya uvamizi wa Russia?
Je NATO imefanikiwa kwa kiasi gani mpaka sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…