Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

Hawa watoto hawajitambui, ni wapumbavu sana, wao wanaona sisi tunashabikia Marekani. Wanaona tunafurahia matendo yote ya US, akili za kpuuzi kabisa hizi.
 
Finland walishasema week iliyopita kwamba Russia wakate gesi na mafuta maana wanajitosheleza,gesi na mafuta wanayochukua toka Russia ni 10% tu
Sasa mleta mada yeye kinamuwasha kitu gan?
 
Fikiria upande wa 4, wenzetu hawaongozwi na mtu ila mihimili yote mitatu na system, hakuna rasi atakayekuja ktk hizo nchi ataenda kinyume na ishu za NATO. Elewa hilo.
 
Nyamizi nyamizi nyamizi
Huko bongo kwenu inajulikana imepanda kwasababu ya DUNIA
Ila hapo FINLAND imepanda punde baada ya VIKWAZO tokea MOSCOW ujue tofauti ya wao nanyie!!!
EU na hao FINI suala la NISHATI limepanda kutokana na upuuzi wao wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndiyo Great Thinkers sasa [emoji106][emoji120]
 
Fikiria upande wa 4, wenzetu hawaongozwi na mtu ila mihimili yote mitatu na system, hakuna rasi atakayekuja ktk hizo nchi ataenda kinyume na ishu za NATO. Elewa hilo.
Ila inawezekana kupandikiza watu, mfano Ujerumani Uchaguzi unaoendelea Chancellor wa sasa anapoteza majimbo vibaya mno, ni ishara wananchi hawamuelewi kwa sakata linaloendelea.
 
Sawa Uchaguzi utatuambia anawaongelea wananchi ama atapigwa Chini.
 
Mie naunga mkono RUSSIA
Ila kuhusiana na hayo unayoyasema MKUU sio kwamba wao hawajayawaza ama hawayajui hapana
Wanayajua sana nawashayawaza mnooo ila shida kwenye utekelezaji yaani gharama
Wakifanya hvyo ukute mafuta watauza bei hata mara tatu ama nne yawanayoyapata hapo RUSSIA
Hata huu mkataba waliosign jana QATAR na GERMAN nakuhakikishia nikiini macho maana nisuala lamuda tuu NORD STREAM mbili litafanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la gas kwa ulaya bado halina mbada na sio leo wala kesho watapata mbadala wa gas ya Urusi. Usiwaamini sana Wazungu eti huwa hawaingii cha kike. Finland na Sweden wameingia cha kike kwa mihemuko tuu bado wanahitaji sana Umeme wa Mrusi na gesi yake.
 
Ungekuwa una akili sana tungekuwa tunakusoma kwenye vitabu au majarida umevumbua kitu flan,kama hujawahi kufikia hiyo stage,una akili ya kawaida tu ya kuwezesha kupata mkate wa familia ambayo kila mtu anayo.
asante kwa kukili nina akili lakini wewe ndo sijui.
 
Shangaa na ww watu wako busy kujenga mahandaki kila sehemu nchini kwao halafu washindwe kuweka misingi ya hatima yao kuhusu nishati mbadala ya Russia!!!!!???
Huwezi shindana na mwenye pesa, russia ni masikini kulinganisha na mataifa ya ulaya.
 
Hivi Russia ni wajinga kiasi hicho kwamba wana vamia tu kijeshi nchi kama Ukraine bila sababu za msingi?

Au kuna mjinga mmoja yupo kati yao anatekeleza malengo yake binafsi?
Russia na hasa putin, anahitaji kuirejesha soviet. Hii ya nato anaongea tu ila ukweli ni huo, anataka airejeshe soviet ndo maana akaibeba crimea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…