The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Ni vile tu upepo wa obama ulimpitia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marioo huyuhuyu anaeimba kama analia auFireboy DmL,Joe Boy,Rema
Kwa sasa kwenye mziki wa Nigeria kuna Wasanii wameibuka na wanafanya vizuri sana Kama Rema,Joeboy,Fireboy au Mayorkun, N.k
Rema alitamba sana na EP ya Bad Commando ambayo ilipelekea raisi mstaafu Barack Obama kuiitaja ngoma yake ya Iron Man kwenye Playlist yake. Rema anafanya vizuri pia...
Joe Boy mdundo wa Baby umesumbua sana na ngoma nyingine nyingi kama Don't Call me Back akiwa na Mayokurn na zingine nyingi ambazo zimefanya vizuri.
Nimewasikiliza Wengi Lakini huyu Fire Boy DML kwa nionavyo ni zaidi ya wote,Fireboy DmL ni zao la Olamide....Anafanya vizuri mno Alianza kutamba na mkwaju wa Jeaulos.
Album zake mbili zimefanya vizuri Sana.
Album ya Laughter,Tears&Goosebumps Album hii imebeba midundo kama Need You,Vibration,Jeaulos,What if say,King zote ziache kuna mdundo unaitwa Wait and see🙌🙌 N.k
Juzi tu ameachia album ya Apollo kuna midundo kama Champions,Tattoo,Afar ft Olamide,New york city girl...
Dogo anaimba sana pia Lyrics zake ni nzuri......
Nafikiri Fireboy DmL ni zaidi yao Wadau mnaonaje?
Ni muda wa kina Marioo kutafuta Collaboration na watu kama hao.
Eeeh huyu huyu alieimba na Skales,Show majozMarioo huyuhuyu anaeimba kama analia au
OkEeeh huyu huyu alieimba na Skales,Show majoz
Yah wanakaza ila hawajafika hata nusu ya hao viumbe uliowatajaHawa vijana
kiukweli wanawakimbiza wakongwe kama kina davido, burna boy na wizkid
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Terry chini ya Wizkid....Baadae watakuja kulishika sokoNi kweli maana wakongwe wamewekeza sana kiasi kwamba wamewaajiri hawa madogo; fireboy dml yupo chini ya olamide(ynbl), mayorkun chini ya davido (dmw), rema chini ya don jazzy (marvin) joeboy chini ya mr eazi (empawa)
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Terri huwa kama mteja fulani ila yupo vizuri tusiwasahau pia na kina reekado banks na mtoto wa don jazzy.. koredeTerry chini ya Wizkid....Baadae watakuja kulishika soko
Reekado Banks fundi sana...Terri huwa kama mteja fulani ila yupo vizuri tusiwasahau pia na kina reekado banks na mtoto wa don jazzy.. korede
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kabisa japo amepoa miezi ya hivi karibuni maana mpk sasa anayekimbiza sn fireboyReekado Banks fundi sana...
Fireboy anajua sanaa kuna mkwaju wake unaitwa Wait and see🔥🙌 Nimeshindwa kuichoka...Kabisa japo amepoa miezi ya hivi karibuni maana mpk sasa anayekimbiza sn fireboy
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mimi kwa sasa naukubali champsFireboy anajua sanaa kuna mkwaju wake unaitwa Wait and see[emoji91][emoji119] Nimeshindwa kuichoka...
Na kuna mbongo anaitwa Dayo Tz kaupiga kiswahili aiseee[emoji91]
Nani Kaimba na Fireboy,Nani Kaimba na Wizkidayo?Usafini walishamaliza collabo na hao wote pamoja na baba zao!
Hatari pia au Tattoo🏃🏃🔥
Mondi, haja release tu, walifanya alipokuja kwenye show wasafi festival, fireboy bado wanamvutia gapNani Kaimba na Fireboy,Nani Kaimba na Wizkidayo?
Anasubiri nini aisee...Au ilikuwa kwenye Kompyuta zilizovunjwa studio kwa S2kizzyMondi, haja release tu, walifanya alipokuja kwenye show wasafi festival
😂😂😂😂😂😂Tattoo huwa nikiichek napandisha mnara balaa maana video ipo kingono zaidi
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app