Fiston Mayele kutimka Yanga

Fiston Mayele kutimka Yanga

Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.

Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al Hilal ya Sudan ila machafuko ya kisiasa yanatishia dili hilo kufanikiwa.

JE, YANGA ATASIMAMA BILA MAYELE?
Aende tu kwani wamepita wengi na lazima itafika siku carrier yake itakoma Yanga na wengine watakuja
 
Hata hueleweki, rudia post yako niliyokujibu kabla ya hii. Uliuliza kwa kiwango gani alichonacho Mayele? Mimi ndiyo nimekujibu kama una wasiwasi na kiwango chake jiulize kwanini anapostiwa sana na CAF? Sakho alipostiwa mara chache na goli lake la shirikisho msimu uliopita sijui kama msimu huu kapostiwa hata kwa bahati mbaya.

Kuhusu wachezaji wengine wanaopostiwa sijui taarifa zao kama wna malengo ya kwenda ulaya pia waende tu. Kwangu naamini kama mbovu huwezi kupostiwa. Mayele msimu huu anaibuka top scorer wa confederation sasa kama umegoma kukubali kiwango chake kwa ushabiki wako maandazi wa simba na yanga sina sababu ya kukushawishi
Wewe ndio hunielewi

Unafikiri mimi sababu ya kusema Mayele hana maajabu ya kuwafanya Club za Ulaya zimsajili ni kutokana na yeye kutoripotiwa kwenye pages za CAF

Na ndio maana unakuja na sababu ndogo ndogo kama hizo za kupostiwa kwenye pages za CAF

Halafu unaposema "anapostiwa sana" hiyo sana unaipimaje?

Kwasababu mpaka sasa Mayele ana goli 5 sawa na Chivavela wa Marumo iliyoshuka daraja.

Club Bingwa mashindano ambayo ni magumu hadi Mayele mwenyewe yalimshinda, huku top score ana goli 6.

Kwa hiyo kwa hoja yako endapo itaonekana Mayele anashika headlines sana kwenye pages sa CAF tafsiri yake ni bora kuliko hao miamba wenye mabao kumzidi?

Nb: Dr Matola PhD aliwahi kusema kwamba Admin wa pages za CAF ni Simba ndio maana anapost sana vitu vingi kuhusu Simba na kuisahau Yanga.

Leo tena unaposema Mayele anapostiwa sana hapa unakuwa mnanichanganya hususani pale napokumbuka maneno ya huyo mdau niliyem-mentioin
 
Naweka rekodi sawa. Mayele ana magoli 6 sio 5 kama ulivyoandika.
Kuhusu admini wa CAF, kwani haiwezekani kuwa ameibadilishwa au anakuwa wa maisha mpaka kiama kifike?
 
Yap hapo kwenye goli ni sahihi nilikosea, ni kweli ana goli 6 hata yule wa Marumo naye nimerudi kucheki upya naye ana goli 6 pia.

Nawe pia unaungana na mdau kuwa admin wa Caf alikuwa ni Simba?
 
Comments nyingi za kuuzwa Mayele ni za mashabiki wa Simba [emoji23][emoji23]
 
Yap hapo kwenye goli ni sahihi nilikosea, ni kweli ana goli 6 hata yule wa Marumo naye nimerudi kucheki upya naye ana goli 6 pia.

Nawe pia unaungana na mdau kuwa admin wa Caf alikuwa ni Simba?
Hapana, siamini hivyo hata kidogo.
Mimi naamini timu au mchezaji akifanya yale yanayoifurahisha CAF ndio hupostiwa zaidi.
Niliandika vile ili kukumbusha tu kua kuna na possibility nyengine zinazofanya why then and not now.
 
Back
Top Bottom