Alitoa assist......Ila yanga wakimuuza huyo ndio kwisha habari yao.Daah!Ila Mwamba Avue Mask,Sio Mayele Ni Usain Bolt.
Hivi Tutawaelezaje Watoto zetu watuelewe Kuwa Huyo wa Nyuma Mwenye Jezi Nyeusi Alifunga Goli.View attachment 2632713
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitoa assist......Ila yanga wakimuuza huyo ndio kwisha habari yao.Daah!Ila Mwamba Avue Mask,Sio Mayele Ni Usain Bolt.
Hivi Tutawaelezaje Watoto zetu watuelewe Kuwa Huyo wa Nyuma Mwenye Jezi Nyeusi Alifunga Goli.View attachment 2632713
Aende tu kwani wamepita wengi na lazima itafika siku carrier yake itakoma Yanga na wengine watakuja
Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.
Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al Hilal ya Sudan ila machafuko ya kisiasa yanatishia dili hilo kufanikiwa.
JE, YANGA ATASIMAMA BILA MAYELE?
Wewe ndio hunielewiHata hueleweki, rudia post yako niliyokujibu kabla ya hii. Uliuliza kwa kiwango gani alichonacho Mayele? Mimi ndiyo nimekujibu kama una wasiwasi na kiwango chake jiulize kwanini anapostiwa sana na CAF? Sakho alipostiwa mara chache na goli lake la shirikisho msimu uliopita sijui kama msimu huu kapostiwa hata kwa bahati mbaya.
Kuhusu wachezaji wengine wanaopostiwa sijui taarifa zao kama wna malengo ya kwenda ulaya pia waende tu. Kwangu naamini kama mbovu huwezi kupostiwa. Mayele msimu huu anaibuka top scorer wa confederation sasa kama umegoma kukubali kiwango chake kwa ushabiki wako maandazi wa simba na yanga sina sababu ya kukushawishi
Naweka rekodi sawa. Mayele ana magoli 6 sio 5 kama ulivyoandika.Wewe ndio hunielewi
Unafikiri mimi sababu ya kusema Mayele hana maajabu ya kuwafanya Club za Ulaya zimsajili ni kutokana na yeye kutoripotiwa kwenye pages za CAF
Na ndio maana unakuja na sababu ndogo ndogo kama hizo za kupostiwa kwenye pages za CAF
Halafu unaposema "anapostiwa sana" hiyo sana unaipimaje?
Kwasababu mpaka sasa Mayele ana goli 5 sawa na Chivavela wa Marumo iliyoshuka daraja.
Club Bingwa mashindano ambayo ni magumu hadi Mayele mwenyewe yalimshinda, huku top score ana goli 6.
Kwa hiyo kwa hoja yako endapo itaonekana Mayele anashika headlines sana kwenye pages sa CAF tafsiri yake ni bora kuliko hao miamba wenye mabao kumzidi?
Nb: Dr Matola PhD aliwahi kusema kwamba Admin wa pages za CAF ni Simba ndio maana anapost sana vitu vingi kuhusu Simba na kuisahau Yanga.
Leo tena unaposema Mayele anapostiwa sana hapa unakuwa mnanichanganya hususani pale napokumbuka maneno ya huyo mdau niliyem-mentioin
Yap hapo kwenye goli ni sahihi nilikosea, ni kweli ana goli 6 hata yule wa Marumo naye nimerudi kucheki upya naye ana goli 6 pia.Naweka rekodi sawa. Mayele ana magoli 6 sio 5 kama ulivyoandika.
Kuhusu admini wa CAF, kwani haiwezekani kuwa ameibadilishwa au anakuwa wa maisha mpaka kiama kifike?
Hapana, siamini hivyo hata kidogo.Yap hapo kwenye goli ni sahihi nilikosea, ni kweli ana goli 6 hata yule wa Marumo naye nimerudi kucheki upya naye ana goli 6 pia.
Nawe pia unaungana na mdau kuwa admin wa Caf alikuwa ni Simba?