Mimi kama Mwanayanga damu kabisa wala sina habari na Mayele.
Watanzania ndio maana hata wakiachwa na wapenzi wao huwa wanajiua.
Mchezaji wala hakuwa na miaka mitano kwenye timu yenu ila mmeshindwa kabisa kumuacha aendelee na maisha yake?
Mie nadhani Tanzania nzima wenye akili timamu ni wachache sana...huku ktk soka ndio wote mbumbumbu na mijinga jinga tuYanga wenye akili hawafiki watatu.
Mimi kama Mwanayanga damu kabisa wala sina habari na Mayele.
Mchezaji kama mpenzi, akienda mwache aende na umtakie heri kabisa.
Hatokaa akuumize.
Tatizo mayele ni muumini wa mwamposa, itakua watumishi wamemwambia hivo, huwa hawachelewi kusingizia majiniLeo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
View attachment 2901484View attachment 2901485
Majini FCNdio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..😀[emoji1787][emoji1787]
Hii ndio dawa ya mchawi. Muanike. Haji kimbelembele ndio muhusika mkuu wa kutafuta majini ya kwenye kuruaniUsajili wa nkonkoni na Gwede umebuma hasira mnaamishia kwa Sangoma na kumtupia mayele Majini na kumtukana juu..
Mayele pia kasemaji jioni atakua live kuyasemayote View attachment 2901497
Na hilo suala la kumshobokea linanikera sana basi tu.Sasa kwa ujumbe wake huo inaonekana kuna wanayanga wenzako kutwa wanamsakama. Hapo mpaka imeonekana kama taifa zima 'tunamshobokea'
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..😀[emoji1787][emoji1787]
Hata mie sielewi kinachoendeleaNaona mapichapicha tu
Kwani kweli wamemtupia majini?? 🤣🤣🤣🤣Hahahahaha...mnababaikia sana watu...acha awachane tu
Hahahahaha...mie sijui ila nimependa kuwachana maana wabongo shobo sana ...Kwani kweli wamemtupia majini?? 🤣🤣🤣🤣
Ujue nimecheka sana hayo majini
Kwani Mechi ya South Africa na Congo DR Mayele alikua uwanjani?Mpaka kufikia kuamini hivyo kwamba anatupiwa majini ana matatizo ya akili huyo.
Wasitupiwe majini akina Haller atupiwe yeye ambaye hana hata goli moja Afcon?