Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Kwamba anatupiwa mapepo ili achemke huko Misri? Kwani yeye ndiye mchezaji wa kwanza kupita Yanga?
ukiona mkongoman amesema hilo, jua ana uhakika na anachokisema, yanga acheni uchawi, mlimuuza wenyewe. simba pia acheni uchawi,kijana mmakonde alikuwa bora mno alipotoka sijui mlichomfanya amerudi kawa kama mcheza mdebwedo, wabongo mna nini lakini? mkiachwa mkubali kuachika.
 
kama alienda kwa wataalam wao kipindi yupo huku kazi anayo,,,,,,,,,,,........watu wanachezea nyota
 
Unajua nimekuwa najiuliza sana kwann Simba haichezi vizuri, kwann Saido Ntibazonkiza hapendwi, anafanya makosa mengi dimbani wakati Saido ni bonge la mchezaji, ss nimeanza kuamini kuwa ni jini hilo ametupiwa
 

Kaa kwa kutulia kima mkurupukaji
Km hujafanya utafiti wa kuthibitisha km ni kweli ama hapana alichokiandika basi tuliza mhaho..
 
Hatari sana amesema hayo majini ametumiwa kwa njia ipi DHL au?
Umenichekesha sana. Amesema jioni atakuwa live, ngoja tuone atasemaje.

Kashindwa kufanya vizuri Afcon anatusingizia sisi.
 

Ngoja nikutafutie post ya Sheikh Kipozoeo akielezea uhusiano wa majinn na msikiti uliopo Mecca...

Hii hapa 1979Magufuli

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…