Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Na hilo suala la kumshobokea linanikera sana basi tu.

Mchezaji ambaye akiondoka Yanga nitahaha ni Diarra, na kiasi Aziz Ki.
Lakini Mayele alianza kuchokoza mwenyewe walipofuzu AFCON alikuwa live insta akiwacheka wabongo, watu wakaanza kumind pale kwamba mchezaji mwenyewe huingizwi ila upo AFCON, nadhani ikawa utani unaouma kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua tu hii timu ya Yanga imejaa vichaa tupu,na Kuna wengine zimefyatuka kabisa Sasa Hadi mnamtupia majini mwenzenu kwanini?Enyi Gongowazi jitafkarini.
 
Acheni ushirikina, tumewachukua wengi tukawaweka Taifa Stars badala mfanye mazoezi mnafanya shirki, laanatul!
 

Watanzania ndio maana hata wakiachwa na wapenzi wao huwa wanajiua.

Mchezaji wala hakuwa na miaka mitano kwenye timu yenu ila mmeshindwa kabisa kumuacha aendelee na maisha yake?
Yaani wanamshibokea Hadi wanatia kinyaa. Kaamua kuwachana. Tanzania hakuna mpira tumejionea wenyewe kwenya AFCON. Ligi inaharibiwa na Simba na Yanga uliwahi kuona wapi timu msimu mzima haifungwi Halaand mwenyewe iko siku timu yake huwa inachezea kichapo. Manara na wenzie wamerudisha soka la Tanzania hatua Kumi nyuma. Ni MAJINI Tu yamebakia.
 
Yanga wacheni roho mbaya kawakosea nini hadi mnataka kumuua Mayele??
 

Attachments

  • 20240207_114650.jpg
    114.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…