Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
- Thread starter
- #101
Ndio inatakiwa aoneshe ubora wakeMchezaji mmoja anakabwa na watu 3..4..muda wote unategemea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio inatakiwa aoneshe ubora wakeMchezaji mmoja anakabwa na watu 3..4..muda wote unategemea nini?
You are Uncircumcised baboonWe mpumbavu acha kumlinganisha Messi na mpuuuzi Mayele
Msimu huu vpUto mko vizuri ktk kusifia usajili. .. Msimu uliopita Saido, Sarpong, Fiston... Yetu macho
Hawaamini macho yao. Anelekea kuwa top scorerMnaosema tumepigwa nyoosheni mikono niwahesabu.
HahahaaaHuyu Mayele bado tumepigwa au tuendelee kumpa muda
Mkuu uliongea ukiwa sure sanaWe unasema mayele tumepigwa umemuona kacheza dk ngap mpaka umjaji? Sisi tunaemjua tunajua ni suala la muda tu azoee lakini ni bonge la mshambuliaji weka akiba ya maneno
HahahahaaaaUsikute muandishi wa huu uzi ndio mpenzi nambari moja wa kutetema kwa sasa.
🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.
Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.
Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa
We mchizi leo ukisoma hili bandiko lako utajichukia ulivyo na mdomo mrefu🤣🤣Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!