Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

Vipi bado umepigwa na Mayele au umekimbia uzi??

Wabongo uvumilivu hamnaga nyie watu.
Jifunzeni mbele huko, muoneni Edern Hazard hayuko fit lakini timu haimtupi, mashabiki bado wana imani nae.

Wewe mayele hata hakua na muda mrefu ushasema umepigwa.

Hebu kuja hapa uendeleze uzi wako..
 
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!

Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.

Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.

Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa
🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️
Tumepigwa????
 
We mchizi leo ukisoma hili bandiko lako utajichukia ulivyo na mdomo mrefu🤣🤣
 
Back
Top Bottom