Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

Bado una msimamo huu?
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!

Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.

Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.

Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa
 
MUDA NI MWALIMU MZURI SANA
 
Wakati mwingine kukurupuka huwa sio kuzuri, ona sasa mkongo amekuumbua hadi unaona haya kurudi humu
 
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!

Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.

Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.

Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa

"Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa"

😁😁😁 Wabongo mna ujasiri sana. Sasa muda huu si utakuwa unajisikia vibaya sana! Maana huyo Mayele uliye mchukulia poa, amekuwa ni mshambuliaji wa kutumainiwa kwenye timu yake. Na mpaka sasa anaendelea tu KUTETEMA 🤺
 
mikia babu yao mwenyewe kakubali muziki wa mayele
 
Attachments

  • VID-20220304-WA0003.mp4
    4.2 MB
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!

Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.

Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.

Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa

Idiot
 
mikia babu yao mwenyewe kakubali muziki wa mayele
Kwa mwenye akili timamu, kuchukia kizuri ni kujitafutia maradhi ya moyo, kwenye soka kuna kuongea kishabiki na kuna wakati linazungumzwa soka kiuhalisia (napenda zaidi kulizungumzia soka kiuhalisia kuliko kiunazi, japo wakati mwingine unazi ndio burudani ya ushabiki)

Mayele ni bonge moja la striker.

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Bado umepigwa?

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mwenye akili timamu, kuchukia kizuri ni kujitafutia maradhi ya moyo, kwenye soka kuna kuongea kishabiki na kuna wakati linazungumzwa soka kiuhalisia (napenda zaidi kulizungumzia soka kiuhalisia kuliko kiunazi, japo wakati mwingine unazi ndio burudani ya ushabiki)

Mayele ni bonge moja la striker.

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Jamaa anajua sema atunze kiwango chake
 
Back
Top Bottom