Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mwenye Uzi alishagatokomea kusikojulikana, inawezekana yuko uko maporini anauchungulia uzi wake kwa mbaaaliii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.
Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.
Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa
Sema Tena[emoji38][emoji38][emoji38]
Hii comment Mtu anatamani ifutwe na Mods lakini ndo basi tena.Mda gani tena? Uzuri wake nini control zero
Ninachoshukuru kwa heshima ninayowapa, kwenye huu Uzi sikumuona Scars, Cocastic wala Erythrocytes.
Najikubali mzeeWe mchizi leo ukisoma hili bandiko lako utajichukia ulivyo na mdomo mrefu🤣🤣
Mayere atakuwa wa pili kwenye orodha ya wafungaji bora msimu huu kama ilivyokuwa msimu uliopitaNajikubali mzee
Hahahha ngoja waje wenye team yaoMayere atakuwa wa pili kwenye orodha ya wafungaji bora msimu huu kama ilivyokuwa msimu uliopita
Naungana na wewe Kama n "mayere" kweli atakuwa wa pili ila Kama Ni MAYELE lazima achukue kiatu Cha ufungaji Bora mwaka msimu huu wa ligiMayere atakuwa wa pili kwenye orodha ya wafungaji bora msimu huu kama ilivyokuwa msimu uliopita
Sijui huko alipo kwa sasa anajisikiaje 😄..hata mie nashangaa, unawezaje kum-judge mchezaji kwa mechi moja tuuu?
Rejea ya Obrey Chirwa na wengineo, ambao walihitaji muda kuzoea. Wachezaji wako wa aina mbili kuu..Kuna wanaozoea mazingira mapya kwa haraka zaidi na wanaohitaji muda mrefu kidogo kuzoea mazingira. Hawawezi wote wakawa sawa ndugu. Ila kiushabiki waweza ongea chochote upendacho, Ila kiufundi iko hivyo kama nlivyoeleza
We unasema mayele tumepigwa umemuona kacheza dk ngap mpaka umjaji? Sisi tunaemjua tunajua ni suala la muda tu azoee lakini ni bonge la mshambuliaji weka akiba ya maneno
Ujinga ni kipajiKufunga goli moja kelele, ligi ni safari ndefu, muda ni mwalimu mzuri, Mayele tumepigwa