Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,502
Mambo poa...!Mambo Rei..?
Na wewe ni workout warrior kama wako mtiifu?
Mimi sio workout warrior . Mimi nipo nipo tu...teh
Wangu mtiifu siwezi kumfikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo poa...!Mambo Rei..?
Na wewe ni workout warrior kama wako mtiifu?
Hehehehehe akaambiwa bar chafu imejaa mapaka
Atabaki tena?
Si unajua wala vumbi tunavyowaogopa Ma-Broilers??
Hahahaha kui... Wewe ndiye broiler uende gym..Acheni zogo, kafanyeni mazoezi huko...🙂
Your body is what you eat.Namba 5.
Hapo ongezea na kula inavyopaswa.
Kiingiacho mwilini ni cha muhimu sana pia.
Aisee!!Mazoezi ni mazuri aisee,
Mwili unakuwa flexible,
Unakuwa active kila sekunde,
Kwa sisi wanaume yanaleta stamina kunako 6x6, ukimdaka demu mpaka anaomba poooo, kitu inasimama na inakuwa ngumu kama chuma.
Acheni zogo, kafanyeni mazoezi huko...🙂
Naomba ushauri kipi niongeze ili nipate matokea bora zaidi
maaana sina trainer wala instructor, huwa nafanyia home tu
Hahahaha kui... Wewe ndiye broiler uende gym..
Kuongeza musclesLengo lako nini? Kipi hasa unachokitafuta/ unachokitaka?
Kuongeza muscle mass, strength, endurance, au stamina?
Ngoja kwanza nijiandae kisaikolojia
My lovely Kui good to see you.
How are you dadaaaa??
Heeeheee siku hizi mazoezi napigia ndani nakaa kwenye Apartment na Wachina fulani kuna Gym ndani.
Full rahaaaaaa.
kui i got a bunch of good books (novels) want some?
Ni kweli nabidi nikazane haswaaa.....mambo mazuri hayapatikani kirahisi mkuu!!!
Halafu wangu mtiifu itabidi ajitahidi twende sambamba. Maana yeye hawezi kuwa workout warrior, halafu mimi nikawa nafanya mazoezi ya kubip.Mambo Rei..?
Na wewe ni workout warrior kama wako mtiifu?