MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Peleka BOT 25yrs kwa mil 100 utapata 15.95mil kwa mwaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ni uchungu wakeBiashara ina "Ups and Downs" na huo ndio utamu wake.
#YNWA
Mkuu nimependa maelezo yako naomba uelezee vizuri hapo namba 5 hiyo ni kwa matajiri tu au hata sisi tunaokopesheka kwa mishahara ya tamisemiNaomba na mm niweke neno kdg km nitaeleweka:-
1#. Fixed account and UTT amis ni vitu viwili tofauti na utofauti wake upo hapa fixed account haikuwi kithamani lkn UTT inakuwa kithaman kwa kupitia vipande maana bei za vipande zinaongezeka mfano ukinunua vipande vya 100M baada ya miaka mi3 hutauza kwa m100 itakuwa zaidi lakni bank fixed deposit km umeweka M100 utakuta hiyo hiyo 100M.
2#. Business and investment ni vitu viwili tofauti na kote unaweza kutoboa kutegemea na kiwango chako cha elimu ya fedha,uzoefu na risk appetite yako. Nije kwa mfano wako wa gari kupitia UTT gawio lako la mwezi unaweza kuchukua mkopo wa 15M kwa riba ya 13% kwa miaka mitatu makato hayazidi 500K montly hiyo ndio ufanyie izo mishe zako za abiria na utapiga hela vizur tu na sio kuchukua cash yako kununua gari (PROTECT YOUR CASH). Hapa narudia kusema biashara na investment zote zinalipa swali je ww ni muekezaji na mfanyabiashara mzuri?? Binafsi kuna investment nimefanya since 2016 niliweka 7M now nina more than 30M na zinazidi kukua so ni ww na financial inteligence yako.
3#.Kuna mdau mmoja kazungumza vizur sana katika uwekezaji wako hakikisha unatrade with protection tena hasa hasa capital protection kitendo cha kuweka hela UTT basi umeprotect mtaji wako na utaendelea kuwa nao siku zote, risk faida yako na sio mtaji wako.
4#. Mambo ya gari sijui itapigwa mzinga hizo ni mentality za kimasikini biashara yoyote hakikisha inakuwa full protected kupitia BIMA na mambo mengine ili kujilinda na majanga kama hayo.
5#. Bank kuna opportunity kibao na za maana zaidi ya fixed deposit cha msingi ni kuwa curious katika kutafuta maarifa na elimu nikupe mfano mambo ya mortgage kama unataka kujenga apartment zenye thamani ya 200M ww ukiweka 10% liqudity cash or collateral equivalent pamoja na kukamilisha requirements zengine Bank wanalend rest amount ambayo ni 90% ya 200M.
6#. Net profit ya 1.1M ni hela nyingi sana bila ya jasho tena nasema ni hela nyingi mno hasa ukijua kumaximuze hiyo hela hiyo hela unapata more than 40M loan ambayo unalipa kupitia montly payment yako.
7#. 1.1M net profit (Passive income) = 0.73% Montly gaining ya 150M WHILE Tsh elf 40 daily ni = 6.4% Monthly gaining ya 15M lakini sio NET PROFIT.
8#. Know your self ni mtu wa aina gani
Mwisho Sema hivi:-
fixed deposit and UTT amis ni njia nzur na kuhifadhi pesa lakini SIO UWEKEZAJI ABADAN KWANGU MIMI.
MCHAWI CALCULATOR (KIKOKOTOO)
Samahanini kwa usumbufu ingawaje nina mengi itoshe kuwasilisha hayo
Naomba na nipo tayari kurekebishwa na kupata maarifa zaidi
Nina miaka zaidi ya 7 kwenye biashara...Nadhani ni uchungu wake
BUSINESS is better than INVESTMENT.Huwezi linganisha passive income inayotokana investment na active income inayotokana na biashara.
In business wise nakubaliana na ww ni ndogo ila in investment wise sio hela ndogo hata kdg na ukizingatia hii ni net profit, hata huko kwa biashara kupata return ya 1.1M as net profit monthly lazima jasho likutoke kweli hasa
All in All kila mtu ana life style yake kuna watu wanapenda kuhangaika na kuna watu hawapendi kuhangaika maamuzi ni yako lazima uchague biashara au uwekezaji unaoendana na life style yako
Hapa nilipo mi nahitaji mil 50 tu ili niache kazi.Peleka BOT 25yrs kwa mil 100 utapata 15.95mil kwa mwaka
Braza kuishinda bank ni convinsing power yako tuuuuMkuu nimependa maelezo yako naomba uelezee vizuri hapo namba 5 hiyo ni kwa matajiri tu au hata sisi tunaokopesheka kwa mishahara ya tamisemi
Biashara nayo ni aina ya investment.. kama una idea nzuri na una muda wa kusimamia investment zako, ni uwekezaji wenye faida kubwa kuliko kwenye masoko ya fedha, lakini pia risk zake ni kubwa.Hapa nilipo mi nahitaji mil 50 tu ili niache kazi.
Nikipata hiyo 50, naanzisha biashara nyengine nakuwa na biashara 4.
Nikiwa na biashara 4 zinatosha kabisa kuacha kazi, halafu nyie mnapeleka kuzifungia bank...!!!
#YNWA
Ndio hata ww unaweza cha msingi ni kufikia vigezo vyao tu go bank and get infoMkuu nimependa maelezo yako naomba uelezee vizuri hapo namba 5 hiyo ni kwa matajiri tu au hata sisi tunaokopesheka kwa mishahara ya tamisemi
You are brave bro. Nimekupenda unavyowasilisha mada yako. Jamaa hapo anataka kuleta ubishi/umbumbumbu badala ya kufanyia kazi ulichowasilisha. Hata kama hawatoi hiyo riba kila Mwezi, kile unachokipata unnually, waweza kuki divide kwa 12 na ukajua unastahili kupata kiasi gani kila Mwezi.CRDB niliweka kwa mda wa miaka mitatu. Annually interest ni 9% lakini napata monthly interest ambayo inaingia kwenye account kila mwezi
TCB niliweka kwa duration ya miaka 2, annual interest ni 11% lakini wakati naweka zaidi ya mwaka sasa walikuwa wanalipa interest monthly na hadi sasa napata interest kila mwezi(nasikia kwa sasa ni kila baada ya miezi3) lakini mie bado napata interest monthly.
I hope utakuwa umeelewa kama lengo lako ni kujifunza ila kama umelenga ubishi then I don’t trade it champ!
wanalipa mkuu, ni uamuzi wako tuUna ubishi wa Kizamani sana kwenye dunia ambayo kila taarifa ni rahisi kuipata. Jaribu kufanya utafiti mkuu utachekwa na watoto wadogo.
iko hivi wanUna ubishi wa Kizamani sana kwenye dunia ambayo kila taarifa ni rahisi kuipata. Jaribu kufanya utafiti mkuu utachekwa na watoto wadogo.
yes watacalculate faida yako kila mwezi itaingia kwenye account yako lakini huwezi kutoa mpaka maturityMhmh hapana mkuu, kama umeweka pesa fixed ndani ya miaka mitatu watakulipa annually na sio monthly na pia huwa hawatoe kwa vipindi hivyo kabla ya pesa kumachua kama ni miaka mitatu basi utalipwa kipindi imeshamatua ndiyo tafsiri ya account ya fixed account
Kwenye risks ndipo Wakinga, Wachaga na Waha wanapotuacha tunasoma namba.Calculated Risk takers ni wachache na kuwekeza sio pesa tu kuna mwingine atakwambia muda na nguvu zake ni costly zaidi kuliko pesa..., sasa niambie kwako wewe unaona ku-save 135m ili utumie 15m na muda wako kusimamia au utumie 150m na kusahau kipi ni bora ? Kumbuka hapa naongelea mfano wake wa hii biashara na sio biashara nyingine....
Kumbuka pia equation ya money in - return out (unless ni hizi investment za banks) sio linear zinahitaji na usimamizi kwahio sio kweli kwamba sababu bodaboda yangu moja inaniigizia elfu kumi kwa wiki nikiziweka 1000 barabarani nitapata 10m (uhalisia huenda nikapata presha)
Ni kuogopa kupoteza pesaSalamu Waungwana.
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida au tuseme wa kati. Kwa mda nimekuwa nikiweka pesa kwenye fixed deposits account za mabenk tofauti na hata UTT-Amis.
Nimeweka CRDB (Mzigo Flex) ambao wanatoa riba ya 9% annually, TCB ambao wanatoa 11% annually and UTT-Amis ambao wanatoa ~12%.
Hata hivyo baada ya kufanya critical evaluation nimegundua dhahiri kwamba TAASISI hizi siyo sehemu za kuwekeza pesa bali kuhifadhi pesa tu ili isiendelee kukatwa monthly otherwise.
Nitatoa mifano kadhaa, mosi; CRDB niliweka 100M kwa annual interest ya 9% sawa na 0.75%monthly kwa maana hiyo kwa mwezi napata 750,000/= (Laki saba na hamsini elfu) baada ya makato ya VAT huwa inabakia maximum 700,000/= wakati mwingine pungufu kabisa.
TCB nimeweka 50M kwa riba ya 11% annually sawa na 0.916%monthly kwa hiyo kila mwezi napata 450,000/= baada ya VAT nabakia na 405,000/= Kwa hiyo kwa mifano hii miwili tu utaona kwamba kwa mwezi mzima uwekezaji wa 150M faida nayoipata Ni 1.1M tu, yaani milioni moja na laki moja tu.
Sasa basi Kwanini nasema huu siyo uwekezaji mzuri; Chukua mfano ukichukua kigari mfano Spacio au Wish 7 seats, bei ina range between 15M-18M. Halafu kila asubuhi uwe unachukua abiria 8 tu kutoka Mbezi to Kariakoo, nauli inakuwa 4000/person. Single route utakuwa na 32,000/= Mafuta 2Lts sawa na 6600/= utabakia na 25,000/= jioni chukua abiria 8 from Kariakoo to Mbezi, nauli 3000/= au Manzese to Mbezi kuanzia saa12 usafiri shida sana, utapata 24,000/= route ya kwenda kulala Ni mafuta. Utaona walau kwa siku huwezi kukosa 40,000/= bila TRA wala PT. Kwa mwezi unapata siyo chini ya 1.2M kwa uwekezaji wa 15M tu. Huu ni uwekezaji.
Kuna watu watabeza kwamba hizi ni biashara za kwenye karatasi lakini ukweli ni kwamba binafsi NAIFANYA biashara hii na return hii siyo estimation bali ni uhalisia kabisa.
NB: Huu ni mtazamo wangu tu siyo lazima kuyabeba. Jumapili Njema na herini ya siku kuu ya Utatu Mtakatifu.
Jebel.
Wanawaacha wapi na wanamuacha nani ? Way of life ya watu ni tofauti kulingana na utamaduni wao mwingine peace of mind na kuwaza mengine ndio mpango mzima kwake (sio kuwaza faranga) yaani anaona angalau apate kichache na kusahau na kutumia muda wake kwa mengine...., Mwingine making money ndio furaha yake (yaani kuongeza digits kwenye akaunti yake (hata kama hazihitaji)Kwenye risks ndipo Wakinga, Wachaga na Waha wanapotuacha tunasoma namba.
Nadhani mtoa mada alitaka kuwaelimisha WanaJf kuhusu namna bora ya kupata fedha kibiashara.Tunarudi palepale kwamba watanzania wengi hawajui tofauti ya business na investment so mtoa mada akajifunze utofauti kwanza ndio aje kuandika fikra zake hapa
Iko poa naungana na weweSalamu Waungwana.
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida au tuseme wa kati. Kwa mda nimekuwa nikiweka pesa kwenye fixed deposits account za mabenk tofauti na hata UTT-Amis.
Nimeweka CRDB (Mzigo Flex) ambao wanatoa riba ya 9% annually, TCB ambao wanatoa 11% annually and UTT-Amis ambao wanatoa ~12%.
Hata hivyo baada ya kufanya critical evaluation nimegundua dhahiri kwamba TAASISI hizi siyo sehemu za kuwekeza pesa bali kuhifadhi pesa tu ili isiendelee kukatwa monthly otherwise.
Nitatoa mifano kadhaa, mosi; CRDB niliweka 100M kwa annual interest ya 9% sawa na 0.75%monthly kwa maana hiyo kwa mwezi napata 750,000/= (Laki saba na hamsini elfu) baada ya makato ya VAT huwa inabakia maximum 700,000/= wakati mwingine pungufu kabisa.
TCB nimeweka 50M kwa riba ya 11% annually sawa na 0.916%monthly kwa hiyo kila mwezi napata 450,000/= baada ya VAT nabakia na 405,000/= Kwa hiyo kwa mifano hii miwili tu utaona kwamba kwa mwezi mzima uwekezaji wa 150M faida nayoipata Ni 1.1M tu, yaani milioni moja na laki moja tu.
Sasa basi Kwanini nasema huu siyo uwekezaji mzuri; Chukua mfano ukichukua kigari mfano Spacio au Wish 7 seats, bei ina range between 15M-18M. Halafu kila asubuhi uwe unachukua abiria 8 tu kutoka Mbezi to Kariakoo, nauli inakuwa 4000/person. Single route utakuwa na 32,000/= Mafuta 2Lts sawa na 6600/= utabakia na 25,000/= jioni chukua abiria 8 from Kariakoo to Mbezi, nauli 3000/= au Manzese to Mbezi kuanzia saa12 usafiri shida sana, utapata 24,000/= route ya kwenda kulala Ni mafuta. Utaona walau kwa siku huwezi kukosa 40,000/= bila TRA wala PT. Kwa mwezi unapata siyo chini ya 1.2M kwa uwekezaji wa 15M tu. Huu ni uwekezaji.
Kuna watu watabeza kwamba hizi ni biashara za kwenye karatasi lakini ukweli ni kwamba binafsi NAIFANYA biashara hii na return hii siyo estimation bali ni uhalisia kabisa.
NB: Huu ni mtazamo wangu tu siyo lazima kuyabeba. Jumapili Njema na herini ya siku kuu ya Utatu Mtakatifu.
Jebel.
Naomba na mm niweke neno kdg km nitaeleweka:-