Fixed Deposits Account, UTT-Amis ni njia nzuri za kutunza pesa LAKINI SIYO uwekezaji abadani

Mkuu nimependa maelezo yako naomba uelezee vizuri hapo namba 5 hiyo ni kwa matajiri tu au hata sisi tunaokopesheka kwa mishahara ya tamisemi
 
BUSINESS is better than INVESTMENT.

#YNWA
 
Peleka BOT 25yrs kwa mil 100 utapata 15.95mil kwa mwaka
Hapa nilipo mi nahitaji mil 50 tu ili niache kazi.
Nikipata hiyo 50, naanzisha biashara nyengine nakuwa na biashara 4.
Nikiwa na biashara 4 zinatosha kabisa kuacha kazi, halafu nyie mnapeleka kuzifungia bank...!!!

#YNWA
 
Mkuu nimependa maelezo yako naomba uelezee vizuri hapo namba 5 hiyo ni kwa matajiri tu au hata sisi tunaokopesheka kwa mishahara ya tamisemi
Braza kuishinda bank ni convinsing power yako tuuuu
Hata wewe unaweza.

#YNWA
 
Hapa nilipo mi nahitaji mil 50 tu ili niache kazi.
Nikipata hiyo 50, naanzisha biashara nyengine nakuwa na biashara 4.
Nikiwa na biashara 4 zinatosha kabisa kuacha kazi, halafu nyie mnapeleka kuzifungia bank...!!!

#YNWA
Biashara nayo ni aina ya investment.. kama una idea nzuri na una muda wa kusimamia investment zako, ni uwekezaji wenye faida kubwa kuliko kwenye masoko ya fedha, lakini pia risk zake ni kubwa.

Masoko ya fedha ni kwa ajili ya watu ambao hawana mawazo wala uwezo wa kupambana na biashara kila siku.
 
Whatever the case wakuu fanyeni hizo business/investments, ajira za mama kizimkazi mshahara mdogo huoni tobo. Kazi ipo
 
Mkuu nimependa maelezo yako naomba uelezee vizuri hapo namba 5 hiyo ni kwa matajiri tu au hata sisi tunaokopesheka kwa mishahara ya tamisemi
Ndio hata ww unaweza cha msingi ni kufikia vigezo vyao tu go bank and get info
 
You are brave bro. Nimekupenda unavyowasilisha mada yako. Jamaa hapo anataka kuleta ubishi/umbumbumbu badala ya kufanyia kazi ulichowasilisha. Hata kama hawatoi hiyo riba kila Mwezi, kile unachokipata unnually, waweza kuki divide kwa 12 na ukajua unastahili kupata kiasi gani kila Mwezi.

Nikupongeze kwa mchanganuo wako. Hakika nimeamini uko hapa kuelimisha Umma. Big up.
 
Una ubishi wa Kizamani sana kwenye dunia ambayo kila taarifa ni rahisi kuipata. Jaribu kufanya utafiti mkuu utachekwa na watoto wadogo.
iko hivi wan
yes watacalculate faida yako kila mwezi itaingia kwenye account yako lakini huwezi kutoa mpaka maturity
 
Kwenye risks ndipo Wakinga, Wachaga na Waha wanapotuacha tunasoma namba.
 
Ni kuogopa kupoteza pesa
 
Kwenye risks ndipo Wakinga, Wachaga na Waha wanapotuacha tunasoma namba.
Wanawaacha wapi na wanamuacha nani ? Way of life ya watu ni tofauti kulingana na utamaduni wao mwingine peace of mind na kuwaza mengine ndio mpango mzima kwake (sio kuwaza faranga) yaani anaona angalau apate kichache na kusahau na kutumia muda wake kwa mengine...., Mwingine making money ndio furaha yake (yaani kuongeza digits kwenye akaunti yake (hata kama hazihitaji)

To each their own..., Binafsi napenda kuwa na varities za watu duniani na sio wote tuwe cutthroat vultures...
 
Tunarudi palepale kwamba watanzania wengi hawajui tofauti ya business na investment so mtoa mada akajifunze utofauti kwanza ndio aje kuandika fikra zake hapa
Nadhani mtoa mada alitaka kuwaelimisha WanaJf kuhusu namna bora ya kupata fedha kibiashara.
 
Iko poa naungana na wewe
 
Umetisha mpwa nakuvulia kofia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…