matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
moja kwa moja...
1: Watu wanaofanya biashara kwa sababu hawana option nyingine ila wakiipata wanakimbia.
2: Ndugu za hao mabosi wamiliki wa hizo biashara. Ndugu mwema sio lazima awe mwema kwenye kusimamia mambo yako ya msingi. Ndugu hawa wengi hawana morali na hiyo kazi na wengine wengi wanawaonea wivu wamiliki.
3: Watu walianza biashara kubwa kwa nguvu kidogo sana kiasi kwamba hata akae miaka 60 hawezi kupqnda levo inayofuata.
4: Wanafunzi waliomaliza vyuo ambao wanafanya lakini wanajiona wao ni bora kuliko hicho wanachokifanya na wateja wao.
5: Wake za watu ambao hawana ajira, au mume hataki mkewe akawe officewife wa mtu, hivyo mama anafubguliwa biashara kwenye flemu kwa ili asiboreke nyumbani au apate sehemu ya kumuweka bize.
6: Watu walioiga ndugu na marafiki wanaoshinda nao kimaisha waliposikia wamefungua biashara. Angalau na yeye asionekane yuko nyuma.
7: Watu wanaoogopa kupiga hesabu kama wanapata faida au wanapata hasara kwa kuchukua kinachoingia na matumizi yote (kodi,luku,nauli,chakula,vinjwaji, michango mbailmbali, kodi ya pango, ushuru wa uchafu etc.)
8: Wataafu, wanaofanya kwa hofu nataadhari kubwa inayomuharibia hiyo biashara. Wanahofu wakipoteza hawana pa kupata pesa tena.
Kimsingi mimi sio mfanya biashara, ila katika kupita flemu nyingi ambazo zitafeli na kufungwa hapo baadae hizo ndio sifa nyingi za niliowakuta humo.
My take. Yesu alitoa amri, "Fanyeni biashara hadi nitakapokuja". Inabidi biashara zifanywe kwa mikakati mikubwa, kwa kumaanisha na kwa uvumilivu mkubwa ili zilete matokeo kusudiwa.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi.