Flemu nyingi za biashara huku mitaani kwa asilimia kubwa zimejaa watu wa namna hii

Mkuu wewe ni nabii katika hili. Niko na biashara inaniumiza kichwa sana hadi nimelazimika nikumbuke password za ajiraportal
Ni kupambana tu, hqdi kieleweke ila mambo yqnayobadilishika yafanywe, maana pia muda unavyokwenda hata huko ajira portal siku hizi wanaweka u komo wa umri wa muombaji.
 
Ukomo bado sana hata 30 sikaribii. Nimeanza biashara kwa mbinde ila mtaji mdogo kufanya la maana changamoto. Ninatumia muda kufikiria kuja na u turn kali sana nifukie mashimo ila bado napigwa za uso. Aaah biashara shikamoo
 
Ukifa ndio unakuwa umepoteza uwezo wa kufanya biashara. Kama uko hai uturn inaweza kukupeleka ajiraportal ukaingia mzigoni kisha ukatokezea kkoo au dubai kwenye misheni tena.

Hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kuwa na consistency kwenye vitu ambavyo umeshaona kwa wakati huo havina mlango. Hata nikola Tesla aliwahi kuacha kazi kwa hasira kwa Thomas Edson kama Engineer mkuu ila maisha yakamchapa akarudi kuomba kibarua cha kuchimba mitaro kwa ajili ya electric cable, Baadae akaja kutoboa tena na kuwa innovativor mkubwa duniani.

Sisi watumishi huwa tunaamini katika breakthrough. Yaani unaweza kutobole popote. Pia ukiona mlangoni hapapitiki unaboa bati. Lengo ni kufikia kusudi.
 
Nalinganisha katika level ya utoaji wa huduma. Mimi ndiye ninayehudumiwa.
Wewe kuhudumiwa haina maana unayajua yote yanayowakabiri hao wafanya biashara ambao hata hivyo biashara zao ni mbingu na ardhi, hazilingani wala hazifanani.

Wa flemu hana consistency ya uuzaji wa moja ya product yake ambayo wateja ni wengi kuliko hata uwezo wake wa kuzalisha.
Kabla ya kuona inconsistencies zake umetafiti na kujua haswa sababu ni nini?

Kuzidiwa na demand kwenye biashara ni jambo la kawaida hasa Kama product yako ni Nzuri na inakubalika, sio kosa.
Hata sasa alishaga acha siku nyingi kwa sababu ambazo ziko ndani ya uwezo wake.
Ambazo ni zipi? Tafadhali ziainishe hapa.

Kila kitu anacho hadi nguvu na nauli ya kufatia matunda.
Umesema nguvu na nauli anavyo, mtaji wa kuyanunua hayo matunda anao? Umeme wa kuendesha hizo mashine zake anao ?(hapa nazungumzia operating costs)

Wala sio masikini.
Umasikini wa mtu unapimwaje?

Unafahamu kwamba unaweza ukawa na pesa ya kumudu chakula na mengineyo lakini mtaji ukakosa?

Muuza mchicha yeye na product yake bila kujali ukubwa au udogo wake kila siku iko sokoni.
Mtaji wa Muuza Mchicha ni kiasi gani kulinganisha na huyo wa juice center?

Beseni kubwa 15k, Mchicha na mboga zingine hardly 10k, operating costs zake hazina TRA wala kodi ya Pango.

Huyu kodi ya Pango ndio hiyo cost ya beseni ambayo inaweza kudumu kati ya Mwaka 1 mpaka 3.

Na wengi siku hizi wanatumia tenga za kufuma kienyeji ambazo hazicost zaidi ya 5k-20k kulingana na ukubwa (mengi ni special kusafirisha nyanya na kuku)

Hapo TRA anamzuiaje mtu kuamka na kutuletea bidhaa mfano.
Huyu unaetaka akuuzie juice anatambulika ni mlipa kodi kwa TRA kwa sababu tu ya hiyo fremu Kwahiyo lazima awajibike huko kwanza, halafu pili running cost zake na za huyo Muuza Mchicha kwa siku ni hakika ni zaidi ya mtaji wa huyo Muuza Mchicha plus vitendea kazi vyake (beseni)

Nisome context sio content yangu mkuu.
Context hapa haiwezi kukubalika maana unapambanisha mbuzi na chui then utegemee matokeo Sawa, it ain’t fair.
 
Wewe kuhudumiwa haina maana unayajua yote yanayowakabiri hao wafanya biashara ambao hata hivyo biashara zao ni mbingu na ardhi, hazilingani wala hazifanani.

Kabla ya kuona inconsistencies zake umetafiti na kujua haswa sababu ni nini?

Kuzidiwa na demand kwenye biashara ni jambo la kawaida hasa Kama product yako ni Nzuri na inakubalika, sio kosa.

Ambazo ni zipi? Tafadhali ziainishe hapa.

Umesema nguvu na nauli anavyo, mtaji wa kuyanunua hayo matunda anao? Umeme wa kuendesha hizo mashine zake anao ?(hapa nazungumzia operating costs)

Umasikini wa mtu unapimwaje?

Unafahamu kwamba unaweza ukawa na pesa ya kumudu chakula na mengineyo lakini mtaji ukakosa?

Mtaji wa Muuza Mchicha ni kiasi gani kulinganisha na huyo wa juice center?

Beseni kubwa 15k, Mchicha na mboga zingine hardly 10k, operating costs zake hazina TRA wala kodi ya Pango.

Huyu kodi ya Pango ndio hiyo cost ya beseni ambayo inaweza kudumu kati ya Mwaka 1 mpaka 3.

Na wengi siku hizi wanatumia tenga za kufuma kienyeji ambazo hazicost zaidi ya 5k-20k kulingana na ukubwa (mengi ni special kusafirisha nyanya na kuku)

Huyu unaetaka akuuzie juice anatambulika ni mlipa kodi kwa TRA kwa sababu tu ya hiyo fremu Kwahiyo lazima awajibike huko kwanza, halafu pili running cost zake na za huyo Muuza Mchicha kwa siku ni hakika ni zaidi ya mtaji wa huyo Muuza Mchicha plus vitendea kazi vyake (beseni)

Context hapa haiwezi kukubalika maana unapambanisha mbuzi na chui then utegemee matokeo Sawa, it ain’t fair.
Asante mwa mchango mzuri. Nasisitiza tu mimi naongea kwa level ya uteja na ndicho nilichoandika, wafanyabiashara wanaweza kuonhea kwa level zao. Kuhusu hao wafanya biashara wawili ni majirani na marafiki zangu. Elewa ninachokisema sio nadharia za kutunga.
 
Asante mwa mchango mzuri. Nasisitiza tu mimi naongea kwa level ya uteja na ndicho nilichoandika,
Na ndio maana unatupa lawama zisipostahili kutupwa.

Mteja aongelee ya wateja Kama yeye lakini unapovuka na kumuongelea mtoa huduma/mfanyabiashara ujue umeingia ambapo kwa kiasi kikubwa huna uelewa napo Kwahiyo unakosea.

wafanyabiashara wanaweza kuonhea kwa level zao.
Nadhani ndio hao huko juu mwanzo kabisa wamekuonya kujiepusha kutoa ushauri wa kibiashara ikiwa hujawahi kuishi humo japo kwa siku moja tu.

Kuhusu hao wafanya biashara wawili ni majirani na marafiki zangu.
Wanaweza kuwa ni majirani zako na marafiki zako lakini Mbona unafananisha vitu visivyoendana kabisa?

Muuza mchicha mlinganishe maybe na Muuza muhogo kwenye malori na huyu wa biashara ya juice mlinganishe na mwenye biashara ya maziwa, nje ya hapo unawaonea haijalishi unawajua kiasi gani.

Elewa ninachokisema sio nadharia za kutunga.
Sawa sio nadharia za kutunga lakini wewe kwa uelewa wako unadhani ni sahihi kumuweka league moja Muuza Mchicha na mwenye biashara ya juice center ambayo aliikodia na fremu kabisa?
 
moja kwa moja...

1: Watu wanaofanya biashara kwa sababu hawana option nyingine ila wakiipata wanakimbia.

2: Ndugu za hao mabosi wamiliki wa hizo biashara. Ndugu mwema sio lazima awe mwema kwenye kusimamia mambo yako ya msingi. Ndugu hawa wengi hawana morali na hiyo kazi na wengine wengi wanawaonea wivu wamiliki.

3: Watu walianza biashara kubwa kwa nguvu kidogo sana kiasi kwamba hata akae miaka 60 hawezi kupqnda levo inayofuata.

4: Wanafunzi waliomaliza vyuo ambao wanafanya lakini wanajiona wao ni bora kuliko hicho wanachokifanya na wateja wao.

5: Wake za watu ambao hawana ajira, au mume hataki mkewe akawe officewife wa mtu, hivyo mama anafubguliwa biashara kwenye flemu kwa ili asiboreke nyumbani au apate sehemu ya kumuweka bize.

6: Watu walioiga ndugu na marafiki wanaoshinda nao kimaisha waliposikia wamefungua biashara. Angalau na yeye asionekane yuko nyuma.

7: Watu wanaoogopa kupiga hesabu kama wanapata faida au wanapata hasara kwa kuchukua kinachoingia na matumizi yote (kodi,luku,nauli,chakula,vinjwaji, michango mbailmbali, kodi ya pango, ushuru wa uchafu etc.)

8: Wataafu, wanaofanya kwa hofu nataadhari kubwa inayomuharibia hiyo biashara. Wanahofu wakipoteza hawana pa kupata pesa tena.

Kimsingi mimi sio mfanya biashara, ila katika kupita flemu nyingi ambazo zitafeli na kufungwa hapo baadae hizo ndio sifa nyingi za niliowakuta humo.

My take. Yesu alitoa amri, "Fanyeni biashara hadi nitakapokuja". Inabidi biashara zifanywe kwa mikakati mikubwa, kwa kumaanisha na kwa uvumilivu mkubwa ili zilete matokeo kusudiwa.

Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi.
Utafiti usikuwa selective. Unatajaje criteria zote hizo?
 
Na ndio maana unatupa lawama zisipostahili kutupwa.

Mteja aongelee ya wateja Kama yeye lakini unapovuka na kumuongelea mtoa huduma/mfanyabiashara ujue umeingia ambapo kwa kiasi kikubwa huna uelewa napo Kwahiyo unakosea.

Nadhani ndio hao huko juu mwanzo kabisa wamekuonya kujiepusha kutoa ushauri wa kibiashara ikiwa hujawahi kuishi humo japo kwa siku moja tu.

Wanaweza kuwa ni majirani zako na marafiki zako lakini Mbona unafananisha vitu visivyoendana kabisa?

Muuza mchicha mlinganishe maybe na Muuza muhogo kwenye malori na huyu wa biashara ya juice mlinganishe na mwenye biashara ya maziwa, nje ya hapo unawaonea haijalishi unawajua kiasi gani.

Sawa sio nadharia za kutunga lakini wewe kwa uelewa wako unadhani ni sahihi kumuweka league moja Muuza Mchicha na mwenye biashara ya juice center ambayo aliikodia na fremu kabisa?
Asante kwa mchango mzuri.
Tuishie hapo naona hoja zako nyingi zinatokea kwenye unachelewa wewe sio ninachokisema kutokea kwenye uzoefu wangu. Nawez kwenda mwelekeo wako lakini kwa hili tuishie hapo.
 
Ukifa ndio unakuwa umepoteza uwezo wa kufanya biashara. Kama uko hai uturn inaweza kukupeleka ajiraportal ukaingia mzigoni kisha ukatokezea kkoo au dubai kwenye misheni tena.

Hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kuwa na consistency kwenye vitu ambavyo umeshaona kwa wakati huo havina mlango. Hata nikola Tesla aliwahi kuacha kazi kwa hasira kwa Thomas Edson kama Engineer mkuu ila maisha yakamchapa akarudi kuomba kibarua cha kuchimba mitaro kwa ajili ya electric cable, Baadae akaja kutoboa tena na kuwa innovativor mkubwa duniani.

Sisi watumishi huwa tunaamini katika breakthrough. Yaani unaweza kutobole popote. Pia ukiona mlangoni hapapitiki unaboa bati. Lengo ni kufikia kusudi.
Yani kama vipi tuibe
 
Biashara zinafunguliwa,zinakua,nyingine zinakufa miaka nenda miska rudi.
 
Back
Top Bottom