Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?

Ngumbalu yuleyule alieweka kwa mwamunyange kaweka na huku. I'm tanlod engineer tanlod engineer wa n*k
 
Wangweka daraja la juu la waenda kwa miguu kama Buguruni
 
Halafu vijana wa kizazi kipya bana, mambo yao fast fast tu, hawataki subira!
Ndiyo maana Wazee wazima tunapoenda likizo mwishoni mwa mwaka huwa tunakuta Vipaso vingi sana mitaroni!
Now the reason is very clear!! Bravooo!!
 
Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili?
TANROADS DSM, changamoto kwenu.
Msifanye mambo kwa kulazimishwa na jeshi hapo Lugalo.
Tatizo kubwa ni magari ya wanajeshi wanaotoka get la Kambini/hospitali(barabara ya Mbezi Beach-Mwenge) kutaka kupanda upande wa pili(barabara ya Mwenge-Mbezi Beach) kuelekea mwinuko wa nyumba za maofisa wa jeshi.
TANROADS na jeshi wafikirie namna ya kutatua hilo.
 
Unampimaje akili mtu ambae hana akili,yani huyo ni kiazi kweli kweli.Hadi muda huu saa nne kasoro robo kuna foleni bado inayoanzia mwenge mataa hadi itv na upande wa Mlimani city inaanzia round about ya Mliman city.
Aliyeweka hayo matuta kaingia mjini jana.
 
Halafu vijana wa kizazi kipya bana, mambo yao fast fast tu, hawataki subira!
Ndiyo maana Wazee wazima tunapoenda likizo mwishoni mwa mwaka huwa tunakuta Vipaso vingi sana mitaroni!
Now the reason is very clear!! Bravooo!!
Hawa wanaoningoniza funguo kwenye suruali ni tabu tupu

Ova
 
Watu waliowekewa matuta ni wanaotoka Kambi ya Twalipo Lugalo!! Nawashauri Tanroad waweke taa za kuongeza Magari "on demand" ambapo kinakuwa na simple sensor au Barton ya kupress wakati uhitaji unapotokea Kwa Ofisa WA jeshi anahitaji kuvuka kuelekea upande WA pili!! Watokaji huku Sio wengi hivyo only on demand, na Sio kutuumiza na mituta yote kama sehemu yenye wanafunzi chekechea!! Huyu Tanroad manager itakuwa kazi imemshinda, kama hata hajui madhara ya Rasta barabara yenye Malori!! Poor him!!
 
Un

Unaendesha bila kuzingatia taratibu unategemea matuta yatakuokoa!? Na huko yasipokuwepo!? Huendeshi!?
Mimi ni pedestrian. Mtembea kwa miguu. Ambae daily navuka hapo Lugalo upande mmoja kwenda mwingine.
 
Kwanza kambi ya General Twalipo ni Mgulani huko, Lugalo ni General Sarakikya….. pili ni kweli kuna shule ya watoto wadogo pale Makongo.

Endesha kwa usalama wako na wa wengine.
 
Nasikia hayo matuta wiki ijayo hayatakuwepo, nimepata taarifa za ndani ndani kidogo
 
Kwanza hawajaweka kibao kwamba kuna matuta ya kashata sijui.Halafu walivyojenga hiyo barabara Tanroad kwa nini hakiwawekea mazingira rafiki pale na wanajeshi nao kwa kupenda short cut wazunguke bwana wasitutese watumiaji wengine allaaa
 
Barabara hupimwa uwezo wake Kwa wingi WA Magari yanayopita specific point Kwa saa, je Tanroad wamezingatia Hilo!? Hawaoni wamepunguza capacity Kwa 50% Poor them
 
Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili?
Serikali iingilie kati hao jamaa watoe hayo matuta yaooo, yanasababisha foleni kubwaa sana aiseee
 
Wa huku mtwara tunatamani kuomba picha tuone hayo matuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…