Top for B
JF-Expert Member
- Mar 4, 2023
- 803
- 2,796
Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo kuna daraja limejaa maji yanapita mpaka juu eneo la Mkuyuni sokoni.
Foleni ni kubwa kuanzia mjini na upande wa kuingia mjini foleni magari yamesimama mpaka buhongwa, kama una plan ya kuja au kutoka mjini bora ukae kwako maana njiani utaishia kusimama.
Bodaboda zimezidiwa abiria watu wanatembea kwa miguu.