Mi mwenyewe Niko kwenye foleni,daraja la mkuyuni limezingua inapita gari Moja Moja.Kuna mshkaji wangu hapa alikuwa ananiambia hali ni mbaya sana.
Duh poleni wakuu, mvua ya leo ilikuwa si mchezo.Mi mwenyewe Niko kwenye foleni,daraja la mkuyuni limezingua inapita gari Moja Moja.View attachment 2563669
Top for B?
hahahaha, tena asije akathubutu.Hajakufata inbox kweli???