KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Tangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa.
Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala.
Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu wanauchukulia poa, hata wala hawautambikii.