Foleni ni kali sana Nyerere Road (Pugu Road) kama huna safari ya lazima usitumie njia hiyo leo tarehe 09.12.2023 kuanzia mchana

Foleni ni kali sana Nyerere Road (Pugu Road) kama huna safari ya lazima usitumie njia hiyo leo tarehe 09.12.2023 kuanzia mchana

Tangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa.

Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala.

Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu wanauchukulia poa, hata wala hawautambikii.

“Mzimu wa Gongo la mboto umekasirika, watu wanauchukulia poa, hata wala hawautambikii”

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko mnakaa wasukuma na wakurya, pambaneni na Hali yenu maana Msukuma mshamba, mkurya haambiliki.
 
Back
Top Bottom