KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
NAKUJA NA KOMONI TUUTAMBIKIETangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa.
Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala.
Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu wanauchukulia poa, hata wala hawautambikii.
Bila picha ni uzushi na fitna kwa wananchiTangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa.
Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala.
Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu wanauchukulia poa, hata wala hawautambikii.
Usisahau kyindi, kangala na ulanzi na fwefwe za kutagila @gwasoniNAKUJA NA KOMONI TUUTAMBIKIE
Actions speak loudest than words.Bila picha ni uzushi na fitna kwa wananchi
First year mkiingia mjini magari kidogo mnaita foleniActions speak loudest than words.
Raha ya ngoma, ingia ucheze.
Karibu sana
Nimepitia profile yako huna hata miezi sita jukwaani ushaota mapembe unaleta ujuaji hadi kwa sisi baba zako.Bila picha ni uzushi na fitna kwa wananchi
Dogo kuwa na adabu, gari yangu ya kwanza nilinunua mwaka 1997 Toyota Cresida kutoka South Africa, na niliifuata mwenyewe.First year mkiingia mjini magari kidogo mnaita foleni
Uwanja wa Ndege mmejipendelea uko huko Kwa Nini usitumie Usafiri wa Ndege au helikopta?Tangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa.
Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala.
Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu wanauchukulia poa, hata wala hawautambikii.
Haina shida mkuu na maziwa pia nakuja nayo kangala ya mixer asali au ya amila tu?Usisahau kyindi, kangala na ulanzi na fwefwe za kutagila @gwasoni
Huku nilialikwa na wazazi wenza. Wazazi wa mume wa binti yangu ndio wanaishi hukuUwanja wa Ndege mmejipendelea uko huko Kwa Nini usitumie Usafiri wa Ndege au helikopta?
Ungeruka na helikopta Toka huko kwenu Ona Sasa unaota mizimu ya Gongolambo
Hamira sio yetu mila. Asali ndio yetu asiliHaina shida mkuu na maziwa pia nakuja nayo kangala ya mixer asali au ya amila tu?
First year mkiingia mjini magari kidogo mnaita foleni
Jina lako unaitwa Tajiri Mkuu wa Matajiri lakini umekwama kwenye foleni Tena barabara ya vumbi ulike hata helikopta huna.Badilisha Hilo jina kwenye Avatar .Haliendani na weweHuku nilialikwa na wazazi wenza. Wazazi wa mume wa binti yangu ndio wanaishi huku
Kuwa TAJIRI MKUU WA MATAJIRI haimaanishi nalalia vitanda 17 usiku mmoja, navaa viatu pair 13 kwa siku, na nikiwa napanda kitandani napandishwa na crane.Jina lako unaitwa Tajiri Mkuu wa Matajiri lakini umekwama kwenye foleni Tena barabara ya vumbi ulike hata helikopta huna.Badilisha Hilo jina kwenye Avatar .Haliendani na wewe
Anaoneka senior au sijaelewa!!!?Nimepitia profile yako huna hata miezi sita jukwaani ushaota mapembe unaleta ujuaji hadi kwa sisi baba zako.
Tunakuangalia tu.
View attachment 2837594
Anatumia account ya mzazi wakeKajiunga JF 2010 unamwita first year!!
[emoji16][emoji16][emoji16].
Gongo la Mboto jau sanaTangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa.