Fomu anazotaka Odinga kwanini musimpe?

wampe tu sababu naona kuna majanga yanaweza yakatokea....ila odinga nimemdharau kabisa...jamaa kubali matokeo...nenda nyumbani Bondo...lea kuku na bata....you are 72 years old na bado unahangaisha hii nchi tulivu...
huyu bwana anapenda mitafaruku sana..ana akili ambazo haziendani na umri wake huo..
 
huyu bwana anapenda mitafaruku sana..ana akili ambazo haziendani na umri wake huo..
Historia ya Odinga kufanya uchochezi na kujipenda mbele ya maslahi ya waKenya inajulikana sana. Huyu mtu ndiye aliwasha moto mkali wa 2007.
 
Njia sahihi ni kuhesabu hizo 34A forms. Utaibaje hapo. Maana kila kituo kinatoa fomu iliyokubaliwa na wote. najaribu kuona kwa kutumia fomu hiyo kunavyoweza kuwa na udanganyifu. wewe unaonaje? nielimishe
 
Nasikia huko kimeshawaka
John-Allan Namu
@johnallannamu 3h
Police just cleared a roadblock mounted by protesters in Mathare .
pic.twitter.com/gjRrrkzKJP
View photo ·

mathare Nairobi kulikuwa na mtafaruku kidogo Lakini mambo yako shwari. Washapewa dawa Yao, teargas
 
Fomu zimewekwa kwenye web ya IEBC lakini ni chache. Nyingine wa naomba wasimamjzi wa vituo waje kusaini. That means they are cooked. All in all Uhuru nimshindi tuliemtengeneza. I told you before kuwa Uhuru atashinda. Japo kihalali NASA ndo wamekuwa voted. Nilipo waeleza pia juu ya Msando na Ruto mlikuja juu mkitaka evidence. Every leader you see in this world is always a leader of a one eye no matter what choice you might have. Wanachotaka NASA nikulinganisha na matokeo yao kwenye tallying centers but funny enough NASA tallying centers nazenyewe matokeo hayafanani. Ya TZ na KE nitofauti. Wasimamizi wa NASA pia hawakuwa na uzalendo.Kama nilivyo sema kuwa mwenye kombe ndo mshindi. Uhuru lazima ashinde. They can't cut your journey half way. Hakuto tokea violence yeyote hapo. Odinga lazima awatulize wafuhasi wake. Lakini kuna uwezekano wakiongozi mmoja kwenda na maji hapo.
 
Lazima tuwape kichapo zaidi ya kile cha Odinga kule Kenya, ushindi kwa CCM ni lazima!
Jubilee itakuwa kama CCM hapo Kenya. Nichama ilikuja kukiondoa wanaitaji kama miaka 100.
 
MK254 angalia kauli zako ndugu zisiwe na ukakasi sana na kuendelea kuwakasirisha watu ambao pengine wameanza kuwa na wasi wasi!

Kuwaita wakenya wenzio mazombi wakati huu wa sintofaham inaweza kuamsha mori wa hao unaowaita mazombi!

Ni hayo tu!

Hao wameanza kusababisha maombi yako yajibiwe yale ya kutaka kuona vurugu Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…