For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Hii wala haihitaji sijui kuwa jiniaz au mchambuzi wa siasa uchwara kujua kuwa mfumo wa uchaguzi kisheria na kikatiba ni kwa ajili ya chama kilichopo madarakani kuendelea kutawala.

Hauhitaji sayansi yoyote wala uchambuzi wa kikufunzi.

The president who has unlimited command and arbitrary control over the intelligence agency, the police and almost every institution, it is CRAZY to think he will lose the election.

Ni aina ya Rais ambaye ana nguvu za mungu za kuamuru na kuagiza lolote na yeyote na hakuna wa kumzuia.

Ana kila nyenzo halali na haramu ya kushinda uchaguzi kiharamia na kirahisi sana.

Wala hakuna miujiza au matumizi ya akili nyingi hapa.

Haya ni mambo dhahiri shahiri ambayo hayahitaji kuwa jiniaz kuyachambua kwa methali nyingi na tamathali za semi.
 
Unafikiri Tundu Lissu Ni rahisi Kama wewe...ambaye utaungàana na Wajinga...tunda la CCM kumpigia kura JPM! Kwa hoja yako unafikiri ni kwa Nini vijijini wanampigia zaidi JPM/CCM kuliko mijini!

Lakini sishangai Kama.Usukumani bado watu hawana ,Wala hawajui kutumia Choo ...unatehgemea Nini!
 
Mayala were ni mtu wa ovyo sana na mpumbavu sana..even thou you are paid by ccm.to write your articles on this blog make sure you use common sense, intelligence and stop your ambiguity in your articles. Kampumzike kwa amani....all the way to Ikulu..niyeye2020...a sure bet for 2020
 
Kama ni ushauri, basi angeshauriwa kusikiliza wanaompinga sio wanaomsifia pekee..., sababu kama atamteua ili amzibe mdomo akubaliane nae, what's the point?, better still kama atashinda asiminye tu uhuru wa mawazo ili watu waendelee kufichua yale yanayofichwa
 
Hii wala haihitaji sijui kuwa jiniaz au mchambuzi wa siasa uchwara kujua kuwa mfumo wa uchaguzi kisheria na kikatiba ni kwa ajili ya chama kilichopo madarakani kuendelea kutawala.

Hauhitaji sayansi yoyote wala uchambuzi wa kikufunzi.

The president who has unlimited command and arbitrary control over the intelligence agency, the police and almost every institution, it is CRAZY to think he will lose the election.

Ni aina ya Rais ambaye ana nguvu za mungu za kuamuru na kuagiza lolote na yeyote na hakuna wa kumzuia.

Ana kila nyenzo halali na haramu ya kushinda uchaguzi kiharamia na kirahisi sana.

Wala hakuna miujiza au matumizi ya akili nyingi hapa.

Haya ni mambo dhahiri shahiri ambayo hayahitaji kuwa jiniaz kuyachambua kwa methali nyingi na tamathali za semi.
Kitu pekee wananchi wanachoweza kufanya katika mazingira haya ya siasa za chama dola, ni kuiambia na kuionesha serikali kwamba hawako tayari na hawakubali kuongozwa na genge la watu wenye dola la kiharamia.

Na hili limefanikiwa kwa kiasi kikubwa.

..........
 
Wew jamaa umezeeka vibaya sana. Jipange tuu kivingine kwa kuwa Utawala wa Lissu hauta hitaji vijipambe uchwara vya kulamba lamba watu makalio ili wapate uteuzi. Juma pili hii ndio ya mwisho wew na Musiba kuleta vioja vyenu juma pili ijayo taifa litakuwa tayari limerudishwa ktk misingi yake.
 
Ww ni Ng'ombe kabisa, na hii inatokana na makuzi yako ya kuchunga ng'ombe, kutenbea nyuma ya matako ya Ng'ombe na kuangalia nyeti zake kila siku, kuangalia akinya na jike linapopandwa kila siku bila shaka kumeathiri akili yako

Yaan kumpigia kura mtu, asiposhinda umepoteza kura?

Ulivyo na akili zilizo athiriwa kwa kutembea nyuma ya matako na nyeti za ng'ombe unasema eti "watanzania wengi wanaamin Lissu atashinda" alafu unasema hatashinda, sasa kama wengi wanaamin na watampigia kura kwanini asishinde? Au hao wanao amin hivyo hawatampigia kura?

Na kuhusu kura za vijijin, nikuambie labda huko kwenu, kwetu ni kijijin na huwaambii chochote, wote wapo na Lissu na hii ni nchi nzima isipokuwa huko kwenu watembea nyuma ya vinyeo vya ng'ombe
 
Back
Top Bottom