GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Hii wala haihitaji sijui kuwa jiniaz au mchambuzi wa siasa uchwara kujua kuwa mfumo wa uchaguzi kisheria na kikatiba ni kwa ajili ya chama kilichopo madarakani kuendelea kutawala.
Hauhitaji sayansi yoyote wala uchambuzi wa kikufunzi.
The president who has unlimited command and arbitrary control over the intelligence agency, the police and almost every institution, it is CRAZY to think he will lose the election.
Ni aina ya Rais ambaye ana nguvu za mungu za kuamuru na kuagiza lolote na yeyote na hakuna wa kumzuia.
Ana kila nyenzo halali na haramu ya kushinda uchaguzi kiharamia na kirahisi sana.
Wala hakuna miujiza au matumizi ya akili nyingi hapa.
Haya ni mambo dhahiri shahiri ambayo hayahitaji kuwa jiniaz kuyachambua kwa methali nyingi na tamathali za semi.