Mkuu hapo pesa hailiwi bali imepelekwa sehemu isiyo sahii alafu tunategemea matokeo sahii.waziri wa tamisemi anafanya nini hii ndio kazi yake ya kukagua miradi kairuki kakaa kupiga makofi tu na kusifia, pia waziri mkuu asiamini sana takukuru maana na wao wanaupigaji wao wanapokabidhia kuchunguza hapo nao hupata nafasi naomba waziri mkuu awe anawafutilia takukuru akiwapa kuchunguza watu waliokula pesa
PoleNyie vichwa wazi mnashauriwa mkajenge SGR kwa force akaunti, mnajishaua hapa.
Hivi unaongelea kitchen party au Force Account?Umeongea kisiasa na kishabiki zaidi kuliko kitaalamu!!!
Muundo wa FORCE AACOUNT unataka Ujenzi ufanyike kwa kusimamiwa na Kamati za Ujenzi wa mradi; yaani
1. Kamati ya Ujenzi/Kamati ya usimamizi
2. Kamati ya Manunuzi
3. Kamati ya UKAGUZI na mapokezi.
Aidha best practices ni PROCURING ENTITIES kufanya screening za mafundi Wazuri na kuwaajiri kwenye kazi ya Ujenzi chini ya usimamizi wa Mhandisi wa PROCURING ENTITY....
Fundi anatakiwa kuwa na ujuzi na uzoefu wa kutosha na mwenye UWEZO WA KUSOMA RAMANI NA MICHORO na kuitafsiri kwa USAHIHI.
Wakati wa Utekelezaji wa Mradi Mhandisi wa PROCURING ENTITY anatakiwa kuwepo kwenye hatua zote muhimu kama
1. Wakati wa kuseti msingi
2. Kumwaga jamvi
3. Kuseti ukuta
4. Kwenye concrete zote
5. Kuseti paa n.k
Ukiangalia kwa Uhalisia Utaratibu wa Force account ni mzuri SHIDA NI WASIMAMIZI KUTANGULIZA MASLAHI BINAFSI KULIKO MASLAHI YA UMMAH.
Kununuliwa milango mibovu FUNDI ANAHUSIKA VIPI? Hapa maana yake Wasimamizi wametaka kitu cha bei RAHISI ili wapige HELA!!!!
Kwani MAJUMBA yetu hatujengi kwa kuwatumia hawa MAFUNDI????
UNATAKA KUNIAMBIA KILA NYUMBA NZURI ILIYOJENGWA MTAANI AMETUMIKA MHANDISI ALIYESAJILIWA EQRB, ARB, ERB, NCC n.k?
Mbona Miradi yetu Binafsi hatuweki milango ya hivyo? Au kwenye miradi ya Ujenzi ya UMMA HUWA WATAALAM WETU WANAGEUKA WATU TOFAUTI????
Ninachokiona ni KUENDELEA KUMOMONYOKA KWA UZALENDO MIONGONI WA WATUMISHI WA UMMA NA KUTANGULIZA ZAIDI MASLAHI BINAFSI.
NI KWELI FORCE ACCOUNT inakosesha WAKANDARASI FURSA ZA KUFANYA KAZI LAKINI HATUPASWI KUWA NA USHABIKI HASA KWENYE JAMBO LA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA TAIFA LETU..
Lakini kwa upande wa Wakandarasi nao ni vilevile Kwani tunashuhudia
1. Miundombinu inajengwa na baadhi ya WAKANDARASI ikiwa haina viwango...
2. Gharama kubwa mno za Ujenzi wa miundombinu
Ifike wakati tutatoa TATIZO NA SII KUKWEPA ILI TUENDELEE KULINDA MASLAHI YETU BINAFSI.
Refer to public procurement Act of 2011Tatizo watu nyie msio kwenye hii sekta mnaishia kutema nyongo kama nyoka lakini hamjui nini kiko kwenye sheria hizi za manunuzi.
Refer: https://www.ppra.go.tz/enewsletters...works-through-force-account-may-2020-may-2020
PART II : GENERAL PRINCIPLES, 6.0 General Conditions for use of FORCE ACCOUNT
6.1 The conditions that may justify the use of force account by procuring entity shall be those enlisted under the provision of Section 64(5) of PPA, 2011 and Regulation 167 (1) of The Public Procurement Regulations, 2013 as amended respectively. These shall include any of the following: a) The works are small, scattered and in remote location for which qualified construction firms are unlikely to tender at a reasonable price;
Soma uelimike.
Tatizo interpretation.Refer to public procurement Act of 2011
Force a/c S.109(1) of PPA of 2011
It require procuring entity(pe) itself or use of public or semi public agencies or dept concerned.
Where pe use its own personal and euipment or hired labour
Section 109(2)(a), (b) of PPA of 2011
Inaelezea mazingira ya force a/c inavyofanya kazi au kuwa applied
1) Dharura
2)isiharibu project nyingine zinazoendelea kwenye eneo Hilo Hilo
3)project zipo mbali mbali na hasa remote area
4)Ikiwa taasisi Ina nguvu kazi mfano Jkt au Magereza
5) Ni sehemu ya shughuli zao mfano TBA( Tanzania Building Agency)
6)Ikiwa Kuna kazi imecheleweshwa na Mzabuni
Lakini force account haipo tu kwa ajili ya kazi ndogo ndogo kama jamaa anavyo taka tuamini.
Inaweza ikaundertake project kubwa kama tulivyoona hivi karibuni nchini Tanzania.
N.B Mkuu si watu wote maamuma na haupo peke yako kwenye hiyo sekta
ni muda muafaka wa Serikali kufanya tathmini ya Miradi iliyotekelezwa kwa Force Account kwa kuangalia kama utekelezaji wa njia hii una tija.Siye wajuvi wa masuala ya ujenzi tulionya na kuonya, tukaambiwa tunatetea ulaji wetu.
Kuna wawakilishi wetu tuliwatuma hadi Bungeni kupinga Force Accout , lakini walibezwa kuwa makandarasi ni mafisadi wa fedhe za umma.
Sasa kazi nyingi zilifanywa kwa spidi kubwa kwa kumtumia fundi Maiko.
Madudu sasa yanaonekana wazi kwa kupata kazi iliyo chini sana katika viwango, na fedha kuliwa vibaya na wasimamizi na mabosi, kuanzia ma DED hadi Madaktari na waalimu.
Kuna waliofungwa, kama yule mwalimu huko Musoma, na wengine kesi zao ziko Mahakamani na zingine kuendelea kuchunguzwa na TAKUKURU.
Tatizo kubwa ni wanasiasa kujifikiria wana akili kubwa kuzidi zile time tested project administration methods na procedures.
Sasa hela za serikali zimeliwa na wajanja kwa vile supervision systems za kifedha na kiujenzi ni very very poor au hakuna kabisa!
Sasa hivi hata Waziri Mkuu kachoka, anatembelea miradi pamoja na TAKUKURU ikiwepo, kila mradi ni madudu ya kutosha.
Mifano michache:
-Waziri Mkuu alitembelea mradi wa hospitali huko Songea. milango ilikuwa haifungi-fundi Maiko huyo na daktari kachukuliwa na TAKUKURU
-Huko Tabora , VETA, jengo la mlinzi milioni 11, msimamizi kachukuliwa na TAKUKURU
-Huko Katavi juzi nyaraka zimechomwa moto kuficha ulaji baada ya kumtumia fundi Maiko, TAKUKURU wamepewa kibarua
-Huko Tanga Mkuu wa Mkoa kawapiga wanted ma DED wawili kwa kufanya kazi na fundi Maiko na jengo likawa ndivyo sivyo, TAKUKURU wameitwa
-Huko Ruangwa, kazi ya fundi Maiko, jengo halina madirisha wala milango, Ths 75 million imaeliwa, TAKUKURU wamepewa kazi
-Huko Ikungi fundi Maiko kajenga jengo la Tsha 500milion ndivyo sivyo, DC kawapeleka TAKUKURU
-Huko Mwanza Mkuu wa Mkoa kawaita TAKUKURU, jengo la abiria, uwanja wa ndege kujengwa chini ya viwango na kusua kusua, hela imeliwa, fundi Maiko anachekelea
Kwa sababu hata hawa wanasiasa wetu haawajui waende wapi wa kukiuka taratibu za ujenzi, inabidi wakumbushwe kuwa TAKUKURU hawana muarobaini wa namna ya kurekebisha taratibu zilizopindwa katika ujenzi
Na kosa kubwa ni hao hao wanasiasa.
Force Account kwa kumtumia fundi Maiko imeleta hasara kubwa sana kwa Taifa.
Tunaiomba serikali, hasa wanasiasa, wadhibitiwe na sheria zinazohusu sekta hii ya ujenzi.
Bodi husika za Wizara ya Ujenzi, CRB. AQRB, ERB, NCC zina kazi kubwa kuwaelimisha wanasiasa wanaoingilia kiutendaji uendeshaji wa sekta ya ujenzi.
JNHP na SGR kuna wataalamu wabobevu na wenye uzoefu kuandertake hizo project za mabilioni?Tatizo interpretation.
SGR na Bwawa la JNHPP ni miradi imechelewa, unaweza tumia hizo guidelines?
Hebu niletee link ya hiyo PPRA Act copy yako ya 2011, maana yangu inaishia section 108.
Mmejipiga kisawasawa kutumia Acts za Serikali divyo sivyo..JNHP na SGR kuna wataalamu wabobevu na wenye uzoefu kuandertake hizo project za mabilioni?
masharti ya force account ndivyo yanavyotaka rudia terms nilizoziandika usome tena.
halafu tofautisha Public Procurement Act(PPA) na Public Procurement Regulatory Authority(PPRA)
PUBLIC PROCUREMENT APPEALS AUTHORITY(PPAA).
Tchao: Kama huyu ndio mtaalamu wa masuala ya manunuzi kama nchi tumepigwa
Mkuu hakuna tunachobishania ila umeamua kukaza fuvuMmejipiga kisawasawa kutumia Acts za Serikali divyo sivyo..
Usijitie mjuaji.
Hapa tunaongelea usimimamizi wa procurement na aina za miradi kwa kutumia Force Account.
Msimamizi mkuu kwa niaba ya Serikali katika procureent ni PPRA, hilo halina ubishi.
Kwamba SGR na Bwawa la JNHPP zina wataalam wa kutosha , hilo ndo linaonyesha low level of thinking kwa watu kama ninyi.
Mnjihalallishia namna na sababu za ku loot.
Nimekuambia lete hiyo PPA 2011 hapaili tuione tuione , tusiandikie mate.
Kwa upande wangu nimesha kuonyesha mwongozo wa serikali kupitia PPRA, kuwa miradi inayotakiwa kufanywa kwa mtindo wa FA ni ile midogo/repair and maintainance oriented.
Wajanja kupitia serikali ya Awamu ya Tano wakajipenyeza na kuitumia hiyo Act kuiibia Serikali.
Sasa siyo bure PM anatembea na Takukuru nchi nzima kuwinda waliokula hiyo hela bila huruma.
Mambo ya uhakika unaingiza siasa, sawa na kumwaga mchanga machoni ili mchote kisawsawa.
Njia ya mwongo ni fupi.Mkuu hakuna tunachobishania ila umeamua kukaza fuvu
Low level of thinking kuhoji kama tuna wataalamu kwenye JNHP na SGR?
Kukushangaa kuhoji kwa nini itumike Force a/c wakati huna wataalamu wazoefu?
Hebu ipitie PUBLIC PROCUREMENT REGULATION 2013
NIMEIKOPI S.167
167.-(1) The use of force account or direct labour may be justified if it meets any of the following conditions: (a) the required works are scattered or are in remote locations for which qualified construction firms are unlikely to tender at reasonable prices; (b) work is required to be carried out without disrupting ongoing operations; (c) risks of unavoidable work interruption are better borne by a procuring entity or public authority than by a contractor; (d) there are emergencies which require a prompt attention; (e) the procuring entity has qualified personnel to carry out and supervise the required works; or (f) the maintenance or construction is part of the routine activity of the procuring entity. (2) For purposes of this regulation “force account” means a construction by the procuring entity itself or use of public or semi-public agencies or departments concerned, where procuring entity or the public or semi-public agency uses its own personnel and equipment or hired labour
Ulianza kuhoji sheria ukala za uso
ukauliza kwa nini zamani haikutumika, umepata majibu
Ukaonyesha ina mapungufu ila kila ukikumbuka hata competitive tendering ilileta wahandisi vihiyo na kutujengea miundombinu chini ya kiwango.
Tatizo ni usimamizi na hapa unamjua anayefile malalamiko kwenye PPRA?
Iwe issue ni competitive tendering au force account bado accounting officer anatakiwa ajiridhishe?
Tatizo ni nini? force a/c au mfumo mbovu wa ukaguzi kupitia madiwani ambao ni ngumbaru?ikiwa ni ngazi ya Halmashauri.
N.B Kama wewe ni Head of PMU basi hujiuzulu tu, maana ni aibu
Hiyo regulation ya mwa 2013 niliyokuwekea ni mziki wa singeliNjia ya mwongo ni fupi.
Uliquote Section 109(2)(a), (b) of PPA of 2011.
Nimekuomba link niwekee hapa mtandaoni hiyo ACT, unaruka ruka tu.
Hiyo regulation ya mwa 2013 niliyokuwekea ni mziki wa singeli
Hujui ya kwamba regulation ndio huelezea zaidi kuliko acts
haya kasome s.65 S.64 ya public procurement act ya 2011 no 9
nimeikopi
y procurement 65.-(1) Emergency procurement may be made where the accounting officer determines that it is in the public interest that goods, works or services be procured as a matter of urgency. (2) For the purpose of subsection (1), emergency procurement shall meet one of the following criteria: 62 No. 7 Public Procurement 2011 (a) compelling urgency that creates threat to life, health, welfare or safety of the public by reason of major natural disaster, epidemic, riot, war, fire or such other reasons of similar nature; (b) situation whereby, without the urgent procurement, the continued functioning of the Government or organisation would suffer irreparable loss, the preservation or protection of irreplaceable public property, or the health or safety of public will be threatened. (3) Upon satisfying the provisions of subsection (2), the procuring entity shall seek approval of the Government Procurement Services Agency before proceeding on with the procurement. (4) For the purposes of this section, the Minister shall make regulations providing for emergency procurement and on how best quality and value for money would be ensured. (5) The procuring entity shall apply the procedures stipulated in the regulations made under this Act for any procurement undertaken pursuant to the provisions of subsection (1). (6) Where the procurement meets the requirements of subsection (1), the conditions relating to procurement limits, methods, tender processing periods and advertisement may be waived except that conditions relating to tender evaluation and obtaining approval of the tender board shall not be waived.
N.B Mimi sio mtaalamu wa procurement
ILa dunia siku hizi haidanganyi na hatudanganyiki
Mkuu umeombwa kuweka link, ili wana JF wajisomee wenyewe.Hiyo regulation ya mwa 2013 niliyokuwekea ni mziki wa singeli

Waingie tu kwenye website ya PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY (PPRA).Mkuu umeombwa kuweka link, ili wana JF wajisomee wenyewe.
Uzuri wa ubishi ni ushahidi.Hiyo regulation ya mwa 2013 niliyokuwekea ni mziki wa singeli
Hujui ya kwamba regulation ndio huelezea zaidi kuliko acts
haya kasome s.65 S.64 ya public procurement act ya 2011 no 9
nimeikopi
y procurement 65.-(1) Emergency procurement may be made where the accounting officer determines that it is in the public interest that goods, works or services be procured as a matter of urgency. (2) For the purpose of subsection (1), emergency procurement shall meet one of the following criteria: 62 No. 7 Public Procurement 2011 (a) compelling urgency that creates threat to life, health, welfare or safety of the public by reason of major natural disaster, epidemic, riot, war, fire or such other reasons of similar nature; (b) situation whereby, without the urgent procurement, the continued functioning of the Government or organisation would suffer irreparable loss, the preservation or protection of irreplaceable public property, or the health or safety of public will be threatened. (3) Upon satisfying the provisions of subsection (2), the procuring entity shall seek approval of the Government Procurement Services Agency before proceeding on with the procurement. (4) For the purposes of this section, the Minister shall make regulations providing for emergency procurement and on how best quality and value for money would be ensured. (5) The procuring entity shall apply the procedures stipulated in the regulations made under this Act for any procurement undertaken pursuant to the provisions of subsection (1). (6) Where the procurement meets the requirements of subsection (1), the conditions relating to procurement limits, methods, tender processing periods and advertisement may be waived except that conditions relating to tender evaluation and obtaining approval of the tender board shall not be waived.
N.B Mimi sio mtaalamu wa procurement
ILa dunia siku hizi haidanganyi na hatudanganyiki
Hivi najenga hoja kwa kichaa?Uzuri wa ubishi ni ushahidi.
Kwanza tukubali tusikubali, PPRA ndiyo mwongozo wa procurement husika, hasa Force Account
Mkuu nimekuuliza makusudi Force a/c S.109(1) of PPA of 2011, unaleta ya 2013 sect 64, 65.
Maana yake huna uhakika na ulichoandika.
Sasa PPRA Walivyo weledi WAKAWALETEA UFAFANUZI mnamo MAY 2022.
Hii ilieleza wazi wazi miradi ipi ni kwa ajili ya Force Account.
Nitanukuu tena:
PART II : GENERAL PRINCIPLES, 6.0 General Conditions for use of FORCE ACCOUNT
6.1 The conditions that may justify the use of force account by procuring entity shall be those enlisted under the provision of Section 64(5) of PPA, 2011 and Regulation 167 (1) of The Public Procurement Regulations, 2013 as amended respectively. These shall include any of the following: a) The works are small, scattered and in remote location for which qualified construction firms are unlikely to tender at a reasonable price
Lakini clauses hizi kwa vile zinawabana, mkaamua kurudia vipengele vya miaka nenda rudi,ambavyo vimekuwa AMMENDED vinavyowapa ulaji.
Kisheria Force Account ni kwa miradi midogo tu.
Unasoma huelewi na hujaelimika.Hivi najenga hoja kwa kichaa?
Au professional yako ni nini?
S.64 na 65 nimeziangalia, kuzijadili na kuonyesha terms and condition zake haziishii tu hapo unaposema zipo scattered na maeneo ya mbali[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Nimeqoute vifungu kwenye 167 na vipengele vyake, ili iwe rahisi kusomwa na kueleweka.
Sikiliza muhongozo wa PPRA haiwezi kwenda kinyume na PPA na PPR, PPAA pamoja na PPPD.
Unasema tumebadilisha vifungu[emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi sio Mwanasiasa na Sina influence yoyote.
Nilichokuelezea kipo kwenye sheria
Njoo na vitu vingine ila sitochangia jambo Tena kwenye hii mada.
Msomi hukubali baada ya kweli kuwekwa mbele yake.
N.B Kisheria Force Account ni kwa miradi midogo tu.
Sheria ipi hiyo unayo izungumzia ndugu[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35].
Kisheria unafahamu Kuna njia zaidi ya Moja ya kufanya manunuzi?
Unazifahamu Single source?
Shopping
Ikitumika hii si ndio utalia na kusaga meno.
Popoma [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unasoma huelewi na hujaelimika.
Soma tena na tena Guidelines za PPRA juu ya FA ya May 2022.
Tuseme pole tu maana it takes a lunatic to see your pont of view.
Hsikusaidii sana kutukana kama huelewi Guidelines ambazo unatakiwa kuzisoma na kufahamu.Popoma [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mjinga aliyeshikilia guidelines huku hataki kugusa sheria[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109].
Wakati hizo guidelines hazijapishana na S.167 nilizozidadavua.
S.64 na 65 nimezidadavua halafu division 5 mmoja anasema sijasoma[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ila wewe ni popoma wa pili kwenye jamii forum.
Eti tumebadili kifungu............,.....................
Nalog off