Koroti Mwashungu
New Member
- Mar 7, 2017
- 2
- 0
TD Holdings
FxPro
Hotforex
take it easy buddy,wote mnatukumbusha wajibu wetu wanafunzi wa hii kitu,huku wewe ukitaka tusichukulie rahisi na tupunguze pupa ili tuelewe vyema kuepuka risk na mwingine akitupa moyo kuwa japo tuna papara ila tutafika kwa sababu naye alikuwa ktk hali hiyo wakati anaanzaHaya all the best na harakati zako. Wewe unajua kila kitu sisi viazi ngoja tunyamaze tukuache wewe mwenye akili kutuzidi uongee.
Nahitaji kujifunza mkuuNimepitia comment za watu i real excieted kwamba mwamuko wa watu upo ila watuu waache pupa tuuu kwrnyr maisha hujawahi wala hujachelewa bahati ya mtu iko pale pale no matter ni katika umri gani a.k.a forgner the don.
demo account hiyooo sio real account€50,000,na less than a week nilikua na €1,000,so hapo nadhani mtaji ulinibeba,ningekua najua nachofanya ningepiga hela ya maana.
Sijakupinga kiongozi ila nilimaanisha ukiwa na pesa ndogo kwenye account unakua makini sana kutrade na pia leverage ni ndogo all in all tuko pamoja [emoji123] [emoji123] [emoji123]Mkuu uko sahihi! Lakin kwa huo mkwanja ningekua na akaunt yenye dola 100 maana kwa jana ningepata 11 USD! JE NI NDOGO??
Kwa wastan wa dola 11 kwa siku maana ni 25000 tsh...kwa mwezi ni almost 750,000/=! JE KWA MTU WA KAWAIDA NI NDOGO???
Hapo ukiwa na hiyo usd 200 ina maana una 1mil +++ per month!! Bado si mbaya mkuu!
Te rule of thumb is...ukiwa na lot size kubwa unakuwa na possibility ya ku earn more!! Lakin hata kama una hiyo dola 200 uki apply leverage bado u gonna make it!!
Karibu!
Tickmill ni ?
Mkuu Siku mbili hazitoshi watu wanatumia miaka mkuudemo account hiyooo sio real account
Shavu kwako mkuuvipi wangwanaa?..nmebahatika kupatana na mzoefu wa haya masekta majuzi haya..wacha nizidi kufaidi maujanja...ila bado kauzi nakafatilia kwa makini..tuzidi kwenda mbelee..
Congrats mkuu!Meta trader 5 (MT 5)!
Sijakuelewa..
Tickmill ni fx brokers...wako UK!Tickmill ni ?
Mkuu i rl liked your accomplishmnts in demo a/c, hw do u leave me behind dude......??Tickmill ni fx brokers...wako UK!
No not really friend! I prefer to learn and practice what am learning...it was just some sort of practices nothing serious! In fact we both learning and we are still learning mkuu!!Mkuu i rl liked your accomplishmnts in demo a/c, hw do u leave me behind dude......??
Mensha kupata mkuundo afanyie kazi hususan icho kiingereza
Hv ulikuwa kwny position gani pale, tuanzie hapo kwanzaNo not really friend! I prefer to learn and practice what am learning...it was just some sort of practices nothing serious! In fact we both learning and we are still learning mkuu!!
Karibu!